<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Habari?picha: Mwalimu wa darasa la Opera ya Kunqu katika Mkoa wa Jiangsu, Mashariki mwa China (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 09, 2024
    Habari?picha: Mwalimu wa darasa la Opera ya Kunqu katika Mkoa wa Jiangsu, Mashariki mwa China
    Xie Suqian (mbele), mwanafunzi wa "darasa la mafunzo ya Opera ya Kunqu," akijifunza chini ya mwongozo wa mwalimu Zhou Jie katika Shule ya Msingi ya Shipai ya Kunshan Mkoani Jiangsu, Mashariki mwa China, Mei 26, 2024. (Xinhua/Li Bo)

    Akiwa alizaliwa mwaka 1995 na kukulia katika Mji wa Kunshan Mkoani Jiangsu, Mashariki mwa China, kumbukumbu za utotoni za Zhou Jie zimejaa Opera ya Kunqu kwenye kila sikukuu na sherehe.

    Mji wa Kunshan ni mahali pa kuanzia kwa Opera ya Kunqu, ambayo imeorodheshwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kuwa urithi wa utamaduni usioshikika. Mji huo ulianzisha "darasa la mafunzo ya Opera ya Kunqu" katika shule moja ya msingi Mwaka 1992. Kwa sasa, kuna madarasa zaidi ya 20 ya kufundisha opera ya Kunqu mjini humo, huku wanafunzi zaidi ya 5,000 wakiwa wamefunzwa.

    Mwaka 2021, Zhou Jie, mwigizaji wa zamani wa Opera ya Kunqu, alikuwa mwalimu wa Shule ya Msingi ya Shipai ya Kunshan, akiongoza wanafunzi kucheza Opera ya Kunqu.

    Akizungumzia siku za baadaye, kijana huyo anatumai kuwa watoto wengi zaidi wataweza kuja kujifunza na kufurahia utamaduni wa Opera ya Kunqu, na kurithisha urithi huu wa utamaduni usioshikika kwa pamoja.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 黄色软件下载免费观看| 啊灬啊别停灬用力啊老师免费视频| 国产精品99久久久久久人| 欧美午夜精品久久久久免费视| 国产日韩欧美不卡在线二区| 日本在线观看a| 国产精品99无码一区二区| 欧美怡红院免费全视频| wwwxxx在线观看| 国产手机在线αⅴ片无码观看| 亚洲人成77777在线播放网站不卡| 欧美日韩国产另类在线观看| 精品国偷自产在线| 精品国产福利片在线观看| 日本一区二区三区四区五区| 欧美色图五月天| 老八吃屎奥利给原视频带声音的| 999影院成人在线影院| 国产偷亚洲偷欧美偷精品| 免费大香伊蕉在人线国产| 4480私人午夜yy苍苍私人影院| 久久久国产精品亚洲一区| 久久精品无码一区二区日韩av| 国产猛男猛女超爽免费视频| 无遮掩60分钟从头啪到尾| 岳的奶大又白又胖| 亚洲成AV人片在线播放无码| 国产小视频你懂的| 97一区二区三区四区久久| 99精品视频在线观看| 91精品国产综合久久香蕉| 久久精品免费观看国产| 国产欧美va欧美va香蕉在线观看| 99在线免费观看视频| 国产特级淫片免费看| 亚洲av永久无码精品三区在线4| 青青青国产手机在线播放| 欧美色欧美亚洲高清在线视频| 亚洲精品成a人在线观看| 国产成人精品午夜福利| 国产日韩欧美视频|