<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Chombo cha "Jiaolong" chamaliza kazi ya mwisho ya kuzamia chini baharini katika safari ya kisayansi ya kimataifa kwenye Bahari ya Pasifiki ya Magharibi 2024 (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 12, 2024
    Chombo cha
    Wanasayansi wa timu za utafiti wa kisayansi za China na nchi nyingine wakipiga picha ya pamoja baada ya kumaliza kazi ya kuzamia chini baharini tarehe 11, Septemba. (Xinhua/Wang Yuhao)

    Saa 7:51 ya tarehe 11 kwa saa za chombo cha “Jiaolong”, chombo hicho kilikamilisha kazi yake ya chini ya bahari ya saa tano na nusu kwenye mlima wa baharini wa Viga katika Bahari ya Pasifiki ya Magharibi, ikibeba waendeshaji wa chombo Zhao Shengya, Zhang Yi, pamoja na mwanasayansi wa timu ya utafiti Gao Wei, na kupanda juu kutoka kwenye sehemu yenye kina cha mita 1,783. Saa 9:10 mchana kwa saa za chombo, "Jiaolong" ilirejea kwenye sitaha ya nyuma ya meli kuu ya "Shenhai-1," hali ambayo inamaanisha kazi yake ya kuzamia chini baharini kwa mara 18 katika safari hiyo ya kisayansi imekamilika kwa mafanikio.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 亚洲av无码片一区二区三区| 亚洲国产精彩中文乱码av| 2021最新国产成人精品视频| 精品无码av一区二区三区| 一本加勒比HEZYO无码专区| 18禁美女裸体网站无遮挡| 夜夜爽夜夜叫夜夜高潮漏水| 用我的手指来扰乱吧全集在线翻译| 亚洲男人第一av网站| 中文字幕一区二区三区有限公司| 波多野结衣久久| 国模吧一区二区| 羞羞视频在线观看入口| 中国老太大bbw| 成年人免费小视频| 一本大道香焦在线视频| 深夜福利gif动态图158期| 亚洲精品国产电影| 福利在线一区二区| jlzzjlzz亚洲jzjzjz| 精品人妻少妇一区二区三区在线| 无翼乌r18无遮掩全彩肉本子| 久久福利资源网站免费看| av无码精品一区二区三区| 国内精品久久久久久99蜜桃| 成人免费看www网址入口| 欧美精品黑人粗大视频| 成人性生交大片免费看| 最近高清日本免费| 中国一级特黄特色**毛片| 日韩a在线看免费观看视频| 久久精品国产99国产精品澳门| 午夜高清视频在线观看| 久久精品国产亚洲AV水果派| 久久国产精品无码网站| 给我看播放片免费高清| 无码视频免费一区二三区| 久久婷婷五月综合色奶水99啪| 4444www免费看| 欧美18videos极品massage| 国产乱码卡一卡2卡三卡四|