<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Mji wa Mkoa wa Xinjiang waharakisha maendeleo na ujenzi wa vifaa vya nishati ya upepo (2)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 13, 2024
    Mji wa Mkoa wa Xinjiang waharakisha maendeleo na ujenzi wa vifaa vya nishati ya upepo
    Picha iliyopigwa Septemba 7, 2024 ikionesha eneo la uzalishaji wa umeme kwa nishati ya upepo la Santangu huko Hami, Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wauygur wa Xinjiang nchini China. (Xinhua/Hu Huhu)

    Ikiwa na rasilimali nyingi za nishati ya upepo, Hami ni moja kati ya maeneo muhimu ya uzalishaji wa umeme kwa nishati ya upepo nchini China. Ikitumia vizuri rasilimali zake hizo, mji wa Hami umeharakisha maendeleo na ujenzi wa vifaa vya nishati ya upepo katika miaka ya hivi karibuni ili kuhimiza kubadilisha muundo wa nishati kuwa kijani. Wakati huohuo, idadi kubwa ya kampuni za nishati ya upepo nchini China zimeanza kuingia eneo hilo kujenga minyororo ya viwanda ya uundaji wa vifaa vya nishati ya upepo ili kuhimiza maendeleo ya uchumi yenye sifa bora.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 热99re久久国超精品首页| 亚洲妇女水蜜桃av网网站| 男女边摸边吃奶边做免费观看| 亚洲人成77777在线播放网站| 亚洲av永久无码精品三区在线4| 久久久综合视频| 久久亚洲精品无码观看不卡| 国内一级特黄女人精品片| 日韩电影免费在线观看网| 日本漂亮继坶中文字幕| 1000部羞羞禁止免费观看视频| 人妻体内射精一区二区| 欧美日韩精品国产一区二区| 国产FREEXXXX性麻豆| 国产无遮挡又黄又爽又色| 日本精品卡一卡2卡三卡| 中国一级毛片录像| 丰满饥渴老女人hd| 国产人澡人澡澡澡人碰视频| 性xxxx18免费观看视频| h视频在线观看免费完整版| 吃女邻居丰满的奶水在线观| 婷婷亚洲综合五月天小说在线| 用我的手指搅乱吧未增删翻译| a级毛片免费观看网站| 最近中文字幕高清免费大全8| 999在线视频精品免费播放观看| 中文字幕无码精品亚洲资源网久久| 久久国产精品-国产精品| 免费v片在线观看无遮挡| 最近中文字幕2018中文字幕6| 亚洲欧美日韩国产成人| 激情五月激情综合网| a级片免费在线播放| 又爽又黄又无遮挡的视频在线观看| 久久777国产线看观看精品| 黑料不打烊tttzzz网址入口| 国产一级做美女做受视频| 狠狠色综合久久婷婷| 久久精品视频99精品视频150| 一级毛片视频免费|