<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    INBAR yaleta ushirikiano wa China na Afrika katika matumizi endelevu ya mwanzi kwenye maonyesho ya Biashara ya Huduma (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 14, 2024
    INBAR yaleta ushirikiano wa China na Afrika katika matumizi endelevu ya mwanzi kwenye maonyesho ya Biashara ya Huduma
    Picha ya kwenye skrini iliyopigwa Septemba 13 kwenye banda la Shirika la Kimataifa la Mwanzi na Rattan (INBAR ikionyesha fundi kutoka moja ya nchi za Afrika akitumia zana za mwanzi kutengeneza samani. (Picha na People’s Daily Online)

    BEIJING - Shirika la Kimataifa la Mwanzi na Rattan (INBAR) limetumia Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China yanayoendelea mjini Beijing kuonyesha namna China na nchi za Kusini hasa za Afrika zinavyoshirikiana katika maendeleo endelevu ya zao la mwanzi ikichangia katika kupunguza athari za tabianchi, kupunguza umaskini na kuwezesha maendeleo ya kijani.

    Akizungumza na People’s Daily Online kwenye banda la INBAR la maonyesho hayo, Mkurugenzi wa Programu za Kimataifa wa shirika hilo, Durai Jayaraman amesema China ni nchi mwenyeji wa makao makuu ya sekretatieti ya shirika hilo na imekuwa ikichangia rasilimali kama vile za kuendesha sekretarieti hiyo na katika miradi ya ushirikiano wa pande tatu na pande nyingi ambapo mbali na rasilimali, imekuwa pia ikitoa uungaji mkono wa teknolojia, ujuzi, mafunzo na ujenzi wa uwezo kwa nchi zote wanachama.

    Amesema kwa sasa shirika hilo lina nchi wanachama 50, na kati ya hizo, nchi 22 ni za Afrika na kwamba kati ya ofisi tano za kikanda duniani, tatu ziko barani Afrika katika nchi za Ethiopia, Cameroon na Ghana.

    Ameeleza kuwa nchi za Afrika zilizo wanachama wa shirika hilo, zimekuwa zikinufaika moja kwa moja hasa katika maeneo makuu mawili. Mosi, ni ujengaji wa mifumo ya kitaasisi ambapo shirika hilo limewezesha nchi za Ethiopia, Kenya, Uganda, Tanzania, Cameroon na Ghana kuwa na mipango mikakati na mipango kazi kuhusu uendelezaji na kutumia ipasavyo zao la mwanzi. Na pili, ni katika utendaji ambapo miradi kama vile ya ujengaji uwezo na mafunzo, utafiti wa kivitendo, upunguzaji umaskini, utoaji ajira, mabadilishano ya teknolojia na ujuzi imekuwa ikifanyika.

    “Kwahiyo tunaunga mkono serikali, tunaziunga mkono nchi kwa kuzipelekea miradi, tuna miradi Afrika Mashariki, Afrika Magharibi na Afrika ya Kati” amesema Jayaraman.

    Huku akibainisha kuwa mwanzi na rattan ni mazao muhimu duniani yakiwa na bidhaa zaidi ya bilioni 3 zinazouzwa kila mwaka duniani kote, Jayaraman amesema mazao hayo ni rasilimali ambazo zinapatikana kwa wingi katika nchi za Kusini yakitoa mchango mkubwa kwa ajili ya kupunguza umaskini, kupunguza athari za tabianchi, kuendeleza biashara, kutoa nafasi za ajira na kuwa mbadala wa plastiki kutokana na bidhaa zake kuwa na matumizi ya mzunguko.

    Ameeleza kuwa, maonyesho hayo kama jukwaa zuri la kueneza, kuelimisha na kuonyesha watembeleaji umuhimu wa bidhaa na mazao ya mianzi lakini pia kuonesha ushirikiano wa Kusini na Kusini kupitia INBAR.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 精品久久久久久无码中文字幕| 成人毛片手机版免费看| 全黄大全大色全免费大片| 男同精品视频免费观看网站| 老头一天弄了校花4次| 国产最新在线视频| 国产999精品久久久久久| 怡红院视频在线| 天天干天天做天天操| 日日噜狠狠噜天天噜av| 久久精品国产亚洲AV蜜臀色欲| 99久无码中文字幕一本久道| 国产一卡二卡三卡| 国产精品无码翘臀在线观看| www国色天香| 国产女人乱子对白AV片| 欧美高清一区二区三| 成人a在线观看| 欧美丰满白嫩bbxx| 伊人亚洲综合青草青草久热| 国产一级成人毛片| 国产人成午夜电影| 秋葵视频在线观看在线下载| 国产精品久久久久999| 69av免费视频| 金莲你下面好紧夹得我好爽| 精品午夜久久网成年网| 在线播放精品一区二区啪视频| 国产女人水多毛片18| 精品久久中文网址| 猴哥影院在线播放视频| 四虎国产精品永久在线| 亚洲AV综合色区无码二区爱AV| 欧美成人午夜精品免费福利| 欧美日韩国产在线人成| 日韩中文字幕免费观看| 在线播放黄色片| 欧美三级中文字幕完整版| 欧美亚洲综合网| 特级做a爰片毛片免费看| 国产成人免费手机在线观看视频|