<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Shughuli Mbalimbali zenye?Kuvutia Zasherehekea?Sikukuu ya Mavuno ya China (6)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2024
    Shughuli Mbalimbali zenye?Kuvutia Zasherehekea?Sikukuu ya Mavuno ya China
    Wasanii wakitumbuiza kwenye Tamasha la Mji wa Shijiazhuang la Sikukuu ya Mavuno ya Wakulima ya China Mwaka 2024 lililofanyika katika Akademia ya Fenglong, Wilaya ya Yuanshi, Mkoa wa Hebei, China, Septemba 22.(Xinhua/Wang Xiao)

    Septemba 22 ni siku ya Mlingano wa Muda wa Mchana na Usiku ambayo kwa Lugha ya Kichina inatwa Qiufen katika kalenda ya kilimo ya China. Katika siku hiyo, China imekaribisha Sikukuu ya Saba ya Mavuno ya Wakulima ya China Mwaka 2024, na sehemu mbalimbali nchini kote zimefanyika shughuli zenye kuvutia kufurahia mavuno mazuri.?

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

    Picha