<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Shughuli mbalimbali za kiutamaduni na kijadi zafanyika Anhui, China kusherehekea Sikukuu ya Kijadi ya Mbalamwezi (2)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2023
    Shughuli mbalimbali za kiutamaduni na kijadi zafanyika Anhui, China kusherehekea Sikukuu ya Kijadi ya Mbalamwezi
    Watu wa kujitolea na watoto wakishiriki katika mchezo wa kukisia mafumbo ya taa za kijadi za China kwenye Kituo cha Mazoezi cha Zama Mpya za Ustaarabu katika Kitongoji cha Chengjiang kilichoko Wilaya ya Beibei, Mji wa Chongqing, China, Septemba 26. (Xinhua/ Qin Tingfu)

    Sikukuu ya Kijadi ya Mbalamwezi nchini China imekaribia, na shughuli mbalimbali za kiutamaduni na kijadi zinafanyika kote nchini kusherehekea sikukuu hiyo.

    (Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

    Picha