<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Siku ya watoto duniani yaadhimishwa kwa maonyesho ya?taa?kote China (11)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 21, 2023
    Siku ya watoto duniani yaadhimishwa kwa maonyesho ya?taa?kote China
    Majengo mashuhuri yakiwa yamewashwa taa kusherehekea Siku ya Watoto Duniani katika eneo la Lujiazui mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Novemba 20, 2023. (Xinhua/Wang Xiang)

    Miji katika mikoa na maeneo mbalimbali ya China iliwasha taa kwenye majengo na miundombinu alama nchini kote siku ya Jumatatu Novemba 20, 2023 kwa ajili ya kuadhimisha siku ya watoto duniani ambayo huadhimishwa duniani kote inapofika Novemba 20 ya kila mwaka.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha