<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Siku ya watoto duniani yaadhimishwa kwa maonyesho ya?taa?kote China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 21, 2023
    Siku ya watoto duniani yaadhimishwa kwa maonyesho ya?taa?kote China
    Majengo yakiwa yamewashwa taa za kupendeza kuadhimisha Siku ya Watoto Duniani mjini Wenzhou katika Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Novemba 20, 2023. (Picha na Zhou Hanxiang/Xinhua)

    Miji katika mikoa na maeneo mbalimbali ya China iliwasha taa kwenye majengo na miundombinu alama nchini kote siku ya Jumatatu Novemba 20, 2023 kwa ajili ya kuadhimisha siku ya watoto duniani ambayo huadhimishwa duniani kote inapofika Novemba 20 ya kila mwaka.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha