<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Sekta ya nishati mpya ya China yanufaisha mageuzi ya kijani ya Malaysia (6)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 24, 2024
    Sekta ya nishati mpya ya China yanufaisha mageuzi ya kijani ya Malaysia
    Mfanyakazi Mohd Suffian (Katikati) akifanya kazi kwenye kituo cha kuzalisha umeme kwa nishati ya jua mjini Kuala Ketil, Malaysia, tarehe 6 Juni, 2024. (Picha na Chong Voon Chung/Xinhua)

    KUALA LUMPUR - Huko Kuala Ketil, sehemu ya kusini ya Jimbo la Kedah la Malaysia, kuna kituo cha kuzalisha umeme kwa nishati ya jua ambacho kina eneo lenye ukubwa wa ekari 260. Kituo hicho chenye uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawati 50 kilijengwa na kampuni ya ujenzi wa nishati ya umeme ya Tianjin chini ya kundi la kampuni za uhandisi wa nishati la China (China Energy Engineering Group Tianjin Electric Power Construction) kilianza kufanya kazi Mwaka 2019.

    Kwa kuendana na mwelekeo wa kimataifa wa kuondoa hewa ya kaboni na maendeleo endelevu, Malaysia imekuwa ikifanya kazi kwa bidii katika miaka ya hivi karibuni ili kuondokana na utegemezi wake kwa nishati ya mafuta kupita kiasi na kuongeza matumizi ya nishati mbadala katika uzalishaji wake wa nishati. Hadhi ya China ya kuongoza katika sekta ya kuzalisha umeme kwa nishati ya jua siyo tu inatoa vifaa lakini pia inatoa teknolojia kwa mageuzi ya kijani ya Malaysia.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 亚洲人精品亚洲人成在线| 一区视频在线播放| 国产产在线精品亚洲AAVV| 久久精品aⅴ无码中文字字幕重口| 国产特级毛片aaaaaa毛片| 一边摸一边叫床一边爽| 99久久亚洲综合精品成人网| 乱子伦xxxx| 久久国产综合精品欧美| 国产乱子伦农村xxxx| 动漫人物差差差免费动漫在线观看| 手机在线看片国产日韩生活片| 国产三级观看久久| 免费足恋视频网站女王| 久久国产精品女| 香港经典a毛片免费观看看| 美女视频黄频a免费观看| k频道国产欧美日韩精品| 日本xxwwxxww在线视频免费| 免费又黄又爽1000禁片| ankhazone度盘| 肉柳高嫁03集在线播放| 日本一区二区三区免费观看| 538在线播放| a级黄色片网站| 欧美一级免费观看| 伊人久久大香线蕉电影院| 天天躁夜夜躁很很躁| 最新中文字幕一区二区乱码| 请与我同眠未删减未遮挡小说| 国产精品极品美女自在线观看| 波多野结衣巨女教师6| 在线视频网址免费播放| 亚洲制服丝袜一区二区三区| 欧美激情一区二区三区四区| 欧美黑人又粗又大久久久| 精品一区二区三区在线视频| 国产AV一区二区三区最新精品| 亚洲综合色丁香婷婷六月图片| 国产精品毛片va一区二区三区| 黄色小视频app下载|