<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Madaraja ya kale ya mawe yahifadhiwa vizuri katika Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China (10)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2024
    Madaraja ya kale ya mawe yahifadhiwa vizuri katika Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China
    Picha hii iliyopigwa tarehe 26 Juni, 2024 ikimwonyesha mtu akipiga mashua chini ya Daraja la Shouchang katika Kijiji cha Erdu, Wilaya ya Deqing, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. (Picha na Xie Shangguo/Xinhua)

    Wilaya ya Deqing wa Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China ni nyumbani kwa madaraja saba ya kale ya mawe ambayo yameorodheshwa kuwa maeneo muhimu ya urithi wa kitamaduni chini ya ulinzi wa kiwango cha serikali ya China. Katika miaka ya hivi karibuni, wilaya hiyo inafanya juhudi kubwa katika ulinzi na ukarabati wa madaraja hayo ya kale ya mawe, huku ikihimiza kuunganisha rasilimali zake hizo za urithi pamoja na utalii wa kitamaduni na ziara za utafiti.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 91嫩草视频在线观看| 久久久不卡国产精品一区二区| 最近中文字幕在线中文视频| 中文字幕一区二区人妻性色| 久久精品国产亚洲精品| 少妇激情av一区二区| 久久精品乱子伦免费| 亚洲欧洲日产国码久在线观看| 国产精华av午夜在线观看| 钻胯羞辱的视频vk| 精品四虎免费观看国产高清午夜| 国产精品久久久久9999高清| 台湾swag视频在线观看| 七次郎成人免费线路视频| 国产又爽又黄又无遮挡的激情视频| 国产熟女乱子视频正在播放| 在线观看91精品国产入口| 一级一级女人真片| 国漫永生第二季在线观看| 91免费国产在线观看| 夜来香免费观看视频在线| 成人国内精品久久久久一区| 99re视频精品全部免费| a拍拍男女免费看全片| 成人免费高清完整版在线观看| 日韩视频在线观看| 久久精品国产清高在天天线| 宝宝才三根手指头就湿成这样| 国产精品蜜芽tv在线观看| 99精品热这里只有精品| 青娱乐精品视频在线观看| 极品丝袜乱系列目录全集| 一区二区三区视频| 中文字幕在线播放| 苍井空亚洲精品AA片在线播放| 韩国18videos极品| 成人区人妻精品一区二区不卡网站| 一级片一级毛片| 免费又黄又爽的视频| 麻豆人人妻人人妻人人片AV| 太深了灬太大了灬舒服|