<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Madaraja ya kale ya mawe yahifadhiwa vizuri katika Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2024
    Madaraja ya kale ya mawe yahifadhiwa vizuri katika Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China
    Mhudumu wa kujitolea akieleza historia ya Daraja la Wanshan kwa watalii watoto katika Kijiji cha Shebei cha Mji mdogo wa Xin'an, Wilaya ya Deqing, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Juni 26, 2024. (Picha na Xie Shangguo/Xinhua)

    Wilaya ya Deqing wa Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China ni nyumbani kwa madaraja saba ya kale ya mawe ambayo yameorodheshwa kuwa maeneo muhimu ya urithi wa kitamaduni chini ya ulinzi wa kiwango cha serikali ya China. Katika miaka ya hivi karibuni, wilaya hiyo inafanya juhudi kubwa katika ulinzi na ukarabati wa madaraja hayo ya kale ya mawe, huku ikihimiza kuunganisha rasilimali zake hizo za urithi pamoja na utalii wa kitamaduni na ziara za utafiti.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 秀婷和程仪全集| 国产精品偷伦视频观看免费| 四虎影视久久久免费| c的你走不了路sb医生| www永久免费视频| 男人边吃奶边做弄进去免费视频| 乱人伦中文字幕在线| 欧洲成人午夜精品无码区久久| 妞干网在线观看| 黑人粗长大战亚洲女2021国产精品成人免费视频| 播放中国女人毛片一级带| 天天成人综合网| 精品无码综合一区二区三区| 99精品欧美一区二区三区美图| 88av在线播放| 久久66热这里只会有精品| 亚洲日韩久久综合中文字幕| 被合租粗糙室友到哭| 么公的又大又深又硬想要| 久久亚洲精精品中文字幕| 免费福利在线播放| 国产成人精品视频一区二区不卡| 好大好深好猛好爽视频免费| 成人欧美一区二区三区的电影| 小莹与翁回乡下欢爱姿势| 精品久久久无码中字| 奇米小说首页图片区小说区| 一区二区三区日本视频| 国产农村乱子伦精品视频| 亚洲一区二区视频在线观看| 欧美亚洲一二三区| 日韩精品一区二区三区老鸭窝| 积积对积积的桶120分钟| 日本高清va不卡视频在线观看| 亚洲av无码久久精品蜜桃| 中文字幕在线日韩| 亚洲国产一区二区三区在线观看| 富二代琪琪在线观看| 日韩乱码人妻无码中文字幕视频| 少妇高潮无套内谢麻豆传| 一本色道久久综合亚洲精品|