<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Washindi wa medali za dhahabu wang'ara katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2024
    Washindi wa medali za dhahabu wang'ara katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
    Michael Jung wa Ujerumani, mwenye kuendesha farasi Chipmunk FRH, akishindana kwenye fainali ya kuruka ukiwa umepanda farasi kwa mtu mmoja mmoja kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 huko Versailles, Ufaransa, Julai 29, 2024. (Xinhua/Yang Lei)

    PARIS – Jionee mkusanyiko wetu wa picha zenye kujumuisha washindi mbalimbali wa medali za dhahabu ambao wameonyesha vipaji vyao vya kipekee na ustadi murua wa kimichezo katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024. Hebu tusherehekee mabingwa hawa na mafanikio yao ya kushangaza!

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

    Picha