<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Washindi wa medali za dhahabu wang'ara katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 (9)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2024
    Washindi wa medali za dhahabu wang'ara katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
    Wachezaji wa timu ya Japan wakishangilia baada ya fainali ya timu za wanaume ya mchezo wa kucheza na kunyumbulisha viungo vya mwili kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 Ufaransa, Julai 29, 2024. (Xinhua/Cao Can)

    PARIS – Jionee mkusanyiko wetu wa picha zenye kujumuisha washindi mbalimbali wa medali za dhahabu ambao wameonyesha vipaji vyao vya kipekee na ustadi murua wa kimichezo katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024. Hebu tusherehekee mabingwa hawa na mafanikio yao ya kushangaza!

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

    Picha