<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Utalii wa jangwani waendelezwa sambamba na ulinzi wa ikolojia huko Dalad, Kaskazini mwa China (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 06, 2024
    Utalii wa jangwani waendelezwa sambamba na ulinzi wa ikolojia huko Dalad, Kaskazini mwa China
    Li Fang akitazama ukuaji wa miti kwenye eneo la Jangwa la Yinkentala huko Dalad, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China, Julai 31, 2024. (Xinhua/Li Zhipeng)

    Li Fang mwenye umri wa miaka 30, ni afisa anayesimamia eneo la Jangwa la Yinkentala, ambalo ni kivutio maarufu cha watalii huko Dalad, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China. Kupitia juhudi zake, utalii wa kupiga kambi kwenye vibanda vidogo vya nyumba ulifunguliwa hivi karibuni, na kuwa kivutio kipya kwa watalii kutoka ndani na nje ya China.

    Watalii wanaomiminika pia wameleta fursa zaidi za ajira kwa wanavijiji wanaoishi karibu na eneo hilo, pamoja na faida nzuri kupitia miradi yao ya utalii iliyoendelezwa kwa pamoja.

    Ulinzi wa kiikolojia unapaswa pia kuangaziwa katika maendeleo ya utalii, Li amesema, akiongeza kuwa sehemu zaidi za kijani zitaongezwa jangwani ili kuhakikisha usawa kati ya shughuli za kiuchumi na hali endelevu ya mazingira ya asili.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 国产精品一区二区电影| 亚洲综合综合在线| 亚洲国产成人久久精品app| 亚洲视频在线观看不卡| 中文日韩字幕一区在线观看| 好男人官网资源在线观看| 97久久精品无码一区二区| 天天躁夜夜躁狠狠躁2021| 97国产在线视频公开免费| 久久亚洲精品无码aⅴ大香| 亚洲欧洲美洲无码精品VA| 免费视频www| 亚洲AV无码乱码在线观看代蜜桃| 最好免费观看韩国+日本| 奇米影视中文字幕| 中国性猛交xxxxx免费看| 成全高清视频免费观看| 一区二区三区在线观看免费| 国产国产精品人在线观看| 免费人成网站在线观看欧美| 欧美xxxxx性视频| 国产在线精品香蕉麻豆| 曰批免费视频播放免费| 天天干天天拍天天操| 老师你下面好湿好深视频| 国产女人18毛片水| 亚洲国产综合专区在线电影| 国产123在线观看| 欧美日韩在线免费| 影音先锋女人aa鲁色资源| 中文字幕无码乱人伦| 午夜影院老司机| 丁香婷婷激情综合俺也去| 久久国产亚洲欧美日韩精品| caoporn地址| 久久天天躁狠狠躁夜夜躁2020| 精品久久久久中文字幕日本| 晚上看b站直播软件| 男人j进女人p免费视频| 欧美巨大xxxx做受孕妇视频| 亚洲资源在线视频|