<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Utalii wa jangwani waendelezwa sambamba na ulinzi wa ikolojia huko Dalad, Kaskazini mwa China (8)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 06, 2024
    Utalii wa jangwani waendelezwa sambamba na ulinzi wa ikolojia huko Dalad, Kaskazini mwa China
    Picha ya droni ikionyesha watalii wakipanda ngamia kwenye eneo la Jangwa la Yinkentala huko Dalad, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China, Julai 31, 2024. (Xinhua/Li Zhipeng)

    Li Fang mwenye umri wa miaka 30, ni afisa anayesimamia eneo la Jangwa la Yinkentala, ambalo ni kivutio maarufu cha watalii huko Dalad, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China. Kupitia juhudi zake, utalii wa kupiga kambi kwenye vibanda vidogo vya nyumba ulifunguliwa hivi karibuni, na kuwa kivutio kipya kwa watalii kutoka ndani na nje ya China.

    Watalii wanaomiminika pia wameleta fursa zaidi za ajira kwa wanavijiji wanaoishi karibu na eneo hilo, pamoja na faida nzuri kupitia miradi yao ya utalii iliyoendelezwa kwa pamoja.

    Ulinzi wa kiikolojia unapaswa pia kuangaziwa katika maendeleo ya utalii, Li amesema, akiongeza kuwa sehemu zaidi za kijani zitaongezwa jangwani ili kuhakikisha usawa kati ya shughuli za kiuchumi na hali endelevu ya mazingira ya asili.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 97香蕉久久夜色精品国产| 把女人的嗷嗷嗷叫视频软件| 亚洲欧美日韩综合精品网| 下面一进一出好爽视频| 久久国产香蕉视频| 韩国出轨的女人| 亚洲制服丝袜在线播放| 成人中文字幕一区二区三区| 玩弄丰满少妇人妻视频| av毛片免费看| 一本大道无香蕉综合在线| 女人18一级毛片水真多| 国产人成精品香港三级古代| 色多多www视频在线观看免费| 久久这里只精品99re免费| 国产成人精品综合| 免费国产a国产片高清| 奇米影视久久777中文字幕| 曰批全过程免费视频播放网站| 99久久精品免费观看国产| 国产精品福利网站| 国产精品成人久久久久久久| 美国经典三级版在线播放| 收集最新中文国产中文字幕| 久久精品午夜福利| 国产三级在线观看播放| 天天躁日日躁狠狠躁av麻豆| 亚洲国产成人久久一区二区三区| 国产成人亚洲精品无码车a| 国产成人永久免费视频| 污视频app网站| t66y最新地址一地址二地址三| 亚洲欧美精品一区二区| 免费观看无遮挡www的视频| 欧美性色黄在线视频| 久久综合图区亚洲综合图区| 手机看片福利在线| 99久久综合狠狠综合久久| 毛片网站免费观看| 9i9精品国产免费久久| 曰批视频免费30分钟成人|