<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Kambi ya mafunzo kwa wanafunzi wenye matatizo ya kuona yafikia?tamati mjini Shanghai, China (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 08, 2024
    Kambi ya mafunzo kwa wanafunzi wenye matatizo ya kuona yafikia?tamati mjini Shanghai, China
    Mwanafunzi Yu Xiaonan (Kulia) akimsaidia Lei Meijun kuvaa pini kabla ya hafla ya kufungwa kwa kambi ya mafunzo kwa wanafunzi wenye matatizo ya kuona huko Shanghai, mashariki mwa China, Agosti 6, 2024. (Xinhua/Fang Zhe)

    Kambi ya mafunzo ya siku kumi kwa wanafunzi 20 wenye matatizo ya kuona wa vyuo vikuu kutoka sehemu mbalimbali za China imehitimishwa huko Shanghai, mashariki mwa China siku ya Jumatano Agosti 6, 2024. Wanafunzi hao 20 wenye matatizo ya kuona watafaa zaidi katika maisha yao yajayo ya chuo kwa uwezo wa kimwili na kiakili waliojifunza kwenye kambi hiyo ya mafunzo.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

    Picha