<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Hafla ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Paris yafanyika (13)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2024
    Hafla ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Paris yafanyika
    Tarehe 11, Agosti, mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Thomas Bach (wa nne kulia) na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya Paris Tony Estanguet (wa nne kushoto) pamoja na wawakilishi wa wachezaji wakiwa kwenye hafla ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Paris. Picha na Zhang Fan/Xinhua

    Hafla ya Kufungwa kwa Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya Joto ilifanyika kwenye Uwanja wa Michezo wa Ufaransa huko Paris tarehe 11, Agosti.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha