<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Hafla ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Paris yafanyika (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2024
    Hafla ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Paris yafanyika
    Mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Thomas Bach (wa tatu kutoka kushoto kwenye juu) na rais Emmanuel Macron wa Ufaransa (wa tatu kutoka kulia kwenye juu) wakishiriki kwenye hafla ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki.

    Hafla ya Kufungwa kwa Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya Joto ilifanyika kwenye Uwanja wa Michezo wa Ufaransa huko Paris tarehe 11, Agosti.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha