<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Peng Liyuan pamoja na wake wa viongozi wa Afrika wahudhuria mkutano kuhusu elimu ya wanawake (4)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 06, 2024
    Peng Liyuan pamoja na wake wa viongozi wa Afrika wahudhuria mkutano kuhusu elimu ya wanawake
    Peng Liyuan, mke wa Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni mjumbe maalum wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kwa ajili ya maendeleo ya elimu ya mabinti na wanawake, akitoa hotuba kwenye Mkutano wa Mada Mahsusi kuhusu Elimu ya Wanawake wa Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Wageni wa Kitaifa la Diaoyutai mjini Beijing, China, Septemba 5, 2024. (Xinhua/Ding Lin)

    BEIJING - Peng Liyuan, mke wa Rais wa China Xi Jinping, amehudhuria mkutano kuhusu elimu ya wanawake wa China na Afrika siku ya Alhamisi na kutoa hotuba, ambapo wake wa viongozi wa Afrika wapatao zaidi ya 20, ambao wako Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC), wameshiriki kwa pamoja katika shughuli za mkutano huo.

    Katika hotuba yake, Peng amesema China na Afrika ni za jumuiya yenye mustakabali wa pamoja na kwamba wanawake wa China na Afrika kwa bidii, hekima na kujitolea, wameandika ukurasa usio na kifani wa mshikamano, ushirikiano na maendeleo.

    Katika kuendeleza elimu ya wanawake na kuelekea katika mustakabali mzuri zaidi, China na Afrika zinaendana katika malengo yao, Peng ameeleza.

    Kwenye mkutano huo, Marie Khone Faye, mke wa Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, na washiriki wengine wa mkutano pia walitoa hotuba.

    Wamemshukuru Peng kwa mchango wake bora katika kuhimiza elimu ya watoto wa kike na wanawake wa Afrika na kusifu uungaji mkono na msaada wa muda mrefu wa China katika nyanja husika.

    Peng na wageni wa Afrika pia walifurahia uimbaji wa watoto na Opera ya Beijing na vitu vya maonyesho vinavyoonyesha utamaduni wa jadi wa China na mafanikio katika elimu ya wanawake.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 色老头老太xxxxbbbb| 天天看片日日夜夜| 我和小雪在ktv被一群男生小说| 野花社区视频在线观看| 日本尹人综合香蕉在线观看| 国产精品自产拍在线观看| 亚洲短视频在线观看| 久久天天躁狠狠躁夜夜| 久久亚洲精品无码AV红樱桃| 精品国产无限资源免费观看| 9lporm自拍视频在线| 国产麻豆videoxxxx实拍| 亚洲黄网在线观看| 一区二区视频在线观看| 欧美丰满熟妇BBB久久久| 又大又爽又湿又紧a视频| 亚洲精品高清国产一久久| 亚洲成在人线电影天堂色| 人人爽人人爽人人片a免费| 亚洲人成伊人成综合网久久久| 中国大臿蕉香蕉大视频| 亚洲国产精品成人精品软件| 风间由美性色一区二区三区| 天堂草原电视剧在线观看免费| 动漫美女www网站免费看动漫| 中文字幕精品一区二区2021年| 日本强伦姧人妻一区二区| 日本最新免费二区三区| 美女极度色诱视频国产| 国产成人综合日韩精品无码| 日本wwww视频| 成年女人a毛片免费视频| 男女一进一出抽搐免费视频| 狠狠穞老司机的福67194| 久青草影院在线观看国产| 精品调教CHINESEGAY| 99久久国产宗和精品1上映| 欧美激情一区二区三区| 中文在线最新版天堂| 亚洲a级在线观看| 久久精品亚洲一区二区三区浴池|