<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Katika picha: Ndege yangeyange wakiwa wamepumzika kwenye Ziwa Yundang huko Xiamen China (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 02, 2024
    Katika picha: Ndege yangeyange wakiwa wamepumzika kwenye Ziwa Yundang huko Xiamen China
    Ndege yangeyange akitafuta chakula katika Ziwa Yundang huko Xiamen, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China. (Picha imetolewa kwa People’s Daily Online/Peng Zhiwei)

    Miongo kadhaa iliyopita, Ziwa Yundang, lililo katikati ya Xiamen, Mkoa wa Fujian, China lilikuwa limeathiriwa na uchafuzi wa mazingira. Baada ya kufanya juhudi kwa miaka mingi katika kuhifadhi mazingira tangu miaka ya 1980, ziwa hilo limepitia mabadiliko ya ajabu na kuwa mazingira ya utulivu na yenye mandhari ya kuvutia mjini humo yaliyo kama kimbilio la mazingira ya asili katikati ya majengo marefu.

    Ndani ya rasi, visiwa vidogo vyenye uoto wa kijani vimekuwa makazi ya ndege yangeyange, ndege ambao ni alama ya Xiamen. Mandhari hiyo ya kuvutia siyo tu inatoa mapumziko tulivu kwa wakazi wa eneo hilo lakini pia yamekuwa sehemu ya kuvutia kwa watazamaji wa ndege na wapiga picha wanaomiminika ili kupiga picha nzuri za ndege hawa katika mazingira yao ya asili.

    Peng Zhiwei, Mkuu Shirikisho la Waangalizi wa Ndege la Xiamen, ametoa mkusanyiko wa picha alizopiga za yangeyange hao waliopendeza kwa People's Daily Online. Mkusanyiko wake huo wa picha hutumika kama ushuhuda kamili wa uhifadhi wa mazingira uliofanikiwa wa Ziwa Yundang.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 最近更新中文字幕在线| 99国产欧美另类久久久精品| 香蕉久久夜色精品升级完成| 翁熄性放纵交换| 久久精品免费大片国产大片| 亚洲国产成人久久笫一页| 亚洲色图欧美在线| 亚洲综合色成在线播放| 免费无码国产V片在线观看| 国产成人女人毛片视频在线| 4480私人午夜yy苍苍私人影院| 国产无卡一级毛片aaa| 成人狠狠色综合| 奇米影视7777狠狠狠狠色| 国产边打电话边被躁视频| 女人与公拘交的视频www| 亚洲高清偷拍一区二区三区| 亚洲一级视频在线观看| 欧美日韩一区二区三区四区在线观看| 国产亚洲欧美在线播放网站| 国产精品一级毛片不收费| 亚洲AV无码专区在线观看亚| 九九久久精品国产免费看小说| 亚洲精品免费在线视频| 欧美日韩亚洲视频| 美女露100%胸无遮挡免费观看| 91精品国产免费| 精品国产理论在线观看不卡| 特级毛片www俄罗斯免| 日韩免费毛片视频| 国产成人综合久久综合| 欧美激情xxxx性bbbb| 在线观看国产一区二区三区| 欧美同性videos免费可播放| 亚洲人成色777777在线观看| 亚洲成在人线在线播放无码| 精品无码成人久久久久久| 一本一道久久a久久精品综合| 成人国产一区二区三区| 久久99精品国产麻豆宅宅| 日韩中文字幕在线一区二区三区|