<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Katika picha: Ndege yangeyange wakiwa wamepumzika kwenye Ziwa Yundang huko Xiamen China (6)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 02, 2024
    Katika picha: Ndege yangeyange wakiwa wamepumzika kwenye Ziwa Yundang huko Xiamen China
    Ndege yangeyange wakionekana karibu na lango la Ziwa Yundang huko Xiamen, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China. (Picha imetolewa kwa People’s Daily Online/Peng Zhiwei)

    Miongo kadhaa iliyopita, Ziwa Yundang, lililo katikati ya Xiamen, Mkoa wa Fujian, China lilikuwa limeathiriwa na uchafuzi wa mazingira. Baada ya kufanya juhudi kwa miaka mingi katika kuhifadhi mazingira tangu miaka ya 1980, ziwa hilo limepitia mabadiliko ya ajabu na kuwa mazingira ya utulivu na yenye mandhari ya kuvutia mjini humo yaliyo kama kimbilio la mazingira ya asili katikati ya majengo marefu.

    Ndani ya rasi, visiwa vidogo vyenye uoto wa kijani vimekuwa makazi ya ndege yangeyange, ndege ambao ni alama ya Xiamen. Mandhari hiyo ya kuvutia siyo tu inatoa mapumziko tulivu kwa wakazi wa eneo hilo lakini pia yamekuwa sehemu ya kuvutia kwa watazamaji wa ndege na wapiga picha wanaomiminika ili kupiga picha nzuri za ndege hawa katika mazingira yao ya asili.

    Peng Zhiwei, Mkuu Shirikisho la Waangalizi wa Ndege la Xiamen, ametoa mkusanyiko wa picha alizopiga za yangeyange hao waliopendeza kwa People's Daily Online. Mkusanyiko wake huo wa picha hutumika kama ushuhuda kamili wa uhifadhi wa mazingira uliofanikiwa wa Ziwa Yundang.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 国产人成精品香港三级在| 亚洲丝袜制服欧美另类| 成人18免费网站在线观看| 国产成人做受免费视频| 日本网站在线看| 国产精品国产三级国产在线观看| 实况360监控拍小两口| 亚洲综合色丁香婷婷六月图片| 国产精品第一区揄拍无码| 无码国产精品一区二区免费式芒果| 91免费国产精品| 久久婷婷五月综合国产尤物app| 久久亚洲中文字幕无码| 97青青草原国产免费观看| 再深点灬舒服灬太大了添学长| 亚洲最大色视频| 少妇性俱乐部纵欲狂欢少妇| 中国国语毛片免费观看视频| 最新无码a∨在线观看| 四虎国产精品永久在线| 亚洲欧美乱综合图片区小说区| 免费一级毛片正在播放| 一本大道无码日韩精品影视_| 国产又粗又猛又大的视频| 欧美性视频在线播放黑人| 在线a免费观看最新网站| 男女过程很爽的视频网站| 欧美xxxx网站| 69成人免费视频无码专区| 亚洲精品www久久久久久| 天天想你在线视频免费观看| 欧美电影院一区二区三区| 在线a免费观看最新网站| 免费精品国产日韩热久久| 88xx成人永久免费观看| 最近中文字幕国语免费完整| 精品蜜臀久久久久99网站| 1000部拍拍拍18勿入免费视频软件| 精品亚洲成a人在线观看| www.天天射| 月夜影视在线观看免费完整|