<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Katika picha: Ndege yangeyange wakiwa wamepumzika kwenye Ziwa Yundang huko Xiamen China (8)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 02, 2024
    Katika picha: Ndege yangeyange wakiwa wamepumzika kwenye Ziwa Yundang huko Xiamen China
    Ndege yangeyange wakiruka juu ya Ziwa Yundang huko Xiamen, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China. (Picha imetolewa kwa People’s Daily Online/Peng Zhiwe)

    Miongo kadhaa iliyopita, Ziwa Yundang, lililo katikati ya Xiamen, Mkoa wa Fujian, China lilikuwa limeathiriwa na uchafuzi wa mazingira. Baada ya kufanya juhudi kwa miaka mingi katika kuhifadhi mazingira tangu miaka ya 1980, ziwa hilo limepitia mabadiliko ya ajabu na kuwa mazingira ya utulivu na yenye mandhari ya kuvutia mjini humo yaliyo kama kimbilio la mazingira ya asili katikati ya majengo marefu.

    Ndani ya rasi, visiwa vidogo vyenye uoto wa kijani vimekuwa makazi ya ndege yangeyange, ndege ambao ni alama ya Xiamen. Mandhari hiyo ya kuvutia siyo tu inatoa mapumziko tulivu kwa wakazi wa eneo hilo lakini pia yamekuwa sehemu ya kuvutia kwa watazamaji wa ndege na wapiga picha wanaomiminika ili kupiga picha nzuri za ndege hawa katika mazingira yao ya asili.

    Peng Zhiwei, Mkuu Shirikisho la Waangalizi wa Ndege la Xiamen, ametoa mkusanyiko wa picha alizopiga za yangeyange hao waliopendeza kwa People's Daily Online. Mkusanyiko wake huo wa picha hutumika kama ushuhuda kamili wa uhifadhi wa mazingira uliofanikiwa wa Ziwa Yundang.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 无码人妻aⅴ一区二区三区| 久久久久久国产精品mv| 日本三级韩国三级三级a级按摩| 美女扒开内裤无遮挡网站| 陪读妇乱子伦小说| 中国一级特黄**毛片免| 国产无套粉嫩白浆在线观看| 欧洲高清一区二区三区试看| 日韩一级二级三级| 日韩欧美亚洲综合一区二区| 国产亚洲精久久久久久无码| 老司机午夜性大片免费| 国产成视频在线观看| 国产一区风间由美在线观看| 亚洲香蕉久久一区二区| 制服丝袜一区在线| 在线视频你懂的国产福利| 亚洲最大福利视频| 日本xxx网站| 韩国出轨的女人| 亚洲国产日韩在线一区| 国产亚洲综合精品一区二区三区| 国产动作大片中文字幕| 亚洲伊人久久大香线蕉结合| 欧美熟妇另类久久久久久不卡| 男生和女生一起差差在线观看| 国产精品亚洲一区二区三区在线| 插鸡网站在线播放免费观看| 欧美巨大bbbb动漫| 国产精品久久久久无码av| 五月天综合婷婷| 日韩一区二区三区精品| 日本久久久久中文字幕| 韩国二级毛片免费播放| FREEXX性黑人大战欧美| 欧美性生恔XXXXXDDDD| 欧美xxxxbbb| 亚洲精品欧美日本中文字幕| 国产麻豆交换夫妇| 免费在线观看a视频| 夜夜躁日日躁狠狠久久av|