<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Katika Picha: Mandhari ya Kivutio cha Utalii cha Shibaozhai huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2024
    Katika Picha: Mandhari ya Kivutio cha Utalii cha Shibaozhai huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China
    Picha iliyopigwa tarehe 10 Julai 2024 ikionyesha watu wakitembelea eneo la Shibaozhai lenye kivutio cha utalii la Wilaya ya Zhongxian ya Chongqing, kusini magharibi mwa China. (Xinhua/Liu Chan)

    Kivutio cha utalii cha Shibaozhai kinaonekana kama bonsai yenye umbo la moyo iliyoko katikati ya sehemu ya Magenge Matatu ya Mto Changjiang wa China. Kwenye sehemu hiyo kuna pagoda ya mbao yenye ghorofa 12 na urefu wa mita 56 ambayo inasimama juu ya nguzo 20 na kuegemea miamba iliyo karibu na mto huo. Ujenzi wa pagoda hiyo ulianzia Enzi ya Ming (1368-1644) ya China katika zama za kale, na pagoda hiyo ni sehemu ya kivutio kikuu cha utalii kwenye eneo la Shibaozhai.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 久久久精品2019免费观看| 色噜噜亚洲男人的天堂| 久久久久国产成人精品| 欧洲成人r片在线观看| 性宝福精品导航| 91福利国产在线观看网站| 麻豆91在线视频| 50岁丰满女人下面毛耸耸| 91精品免费在线观看| 亚洲大片免费观看| 男人肌肌桶女肌肌网站| 日本三级做a全过程在线观看| 精品国精品无码自拍自在线| 69av免费视频| 无码精品一区二区三区在线| 亚洲中久无码永久在线观看同| 免费看男女下面日出水来| 中文字幕免费在线看| 亚洲日产综合欧美一区二区| 韩国日本一区二区| 中国一级毛片免费看视频| 女王放屁给我闻vk| 高h辣肉嗨文公交车| 特黄特黄aaaa级毛片免费看| 手机在线看片国产日韩生活片| 亚洲宅男天堂在线观看无病毒| 99久久99久久精品免费观看| aⅴ精品无码无卡在线观看| 成年人影院在线观看| 国产小视频你懂的| 可知子与野鸟君日文| 好妈妈5韩国电影高清中字| 国产性夜夜春夜夜爽| 日操夜操天天操| 亚洲午夜久久久久妓女影院| GOGOGO高清在线观看中文版| 欧美黑人vs亚裔videos| 一个人www免费看的视频| 欧美亚洲精品suv| 国产精品欧美一区二区三区不卡| 再灬再灬再灬深一点舒服视频|