<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Katika Picha: Mandhari ya Kivutio cha Utalii cha Shibaozhai huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China (8)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2024
    Katika Picha: Mandhari ya Kivutio cha Utalii cha Shibaozhai huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China
    Picha iliyopigwa tarehe 10 Julai 2024 ikionyesha eneo la Shibaozhai lenye kivutio cha utalii la Wilaya ya Zhongxian ya Chongqing kusini magharibi mwa China. (Xinhua/Huang Wei)

    Kivutio cha utalii cha Shibaozhai kinaonekana kama bonsai yenye umbo la moyo iliyoko katikati ya sehemu ya Magenge Matatu ya Mto Changjiang wa China. Kwenye sehemu hiyo kuna pagoda ya mbao yenye ghorofa 12 na urefu wa mita 56 ambayo inasimama juu ya nguzo 20 na kuegemea miamba iliyo karibu na mto huo. Ujenzi wa pagoda hiyo ulianzia Enzi ya Ming (1368-1644) ya China katika zama za kale, na pagoda hiyo ni sehemu ya kivutio kikuu cha utalii kwenye eneo la Shibaozhai.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 久久在精品线影院精品国产| 中文字幕无码无码专区| 一区二区三区视频| 亚洲一区二区三区电影| 一区二区三区伦理高清| 草莓污视频在线观看午夜社区| 五月婷婷丁香六月| 国产精品无码久久av| 国产美女高清**毛片| 自拍偷自拍亚洲精品被多人伦好爽| 99ri精品国产亚洲| 亚洲国产欧美一区二区欧美| 国产欧美日韩另类精彩视频| 九月婷婷人人澡人人添人人爽| 精品无码国产自产拍在线观看| 天天操天天摸天天干| 亚洲欧美日韩色| 久久综合狠狠综合久久综合88| 91抖音在线观看| 99re6在线精品视频免费播放| 精品国产麻豆免费网站| 亚洲AV无码精品色午夜果冻不卡| 狼色精品人妻在线视频| 67194成l人在线观看线路无码| 男人的j进女人视频| 青青青国产依人精品视频| 亚洲女人初试黑人巨高清| 残忍女王虐茎chinese| 亚洲国产成人99精品激情在线| 爽好舒服使劲添我要视频| 欧美精品亚洲精品日韩1818| 久久人妻av无码中文专区| 欧美性大战久久久久xxx| 日本一区二区三| 小次郎收藏最新地址| 国产免费牲交视频| AV无码久久久久不卡蜜桃| 被男按摩师添的好爽在线直播| eeuss草民免费| 国产在视频线精品视频2021| 月夜影视在线观看免费完整|