<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Katika Picha: Mandhari ya Kivutio cha Utalii cha Shibaozhai huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China (4)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2024
    Katika Picha: Mandhari ya Kivutio cha Utalii cha Shibaozhai huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China
    Picha iliyopigwa tarehe 10 Julai 2024 ikionyesha pagoda ya mbao iliyoko eneo la Shibaozhai lenye kivutio cha utalii la Wilaya ya Zhongxian ya Chongqing, kusini magharibi mwa China. (Xinhua/Liu Chan)

    Kivutio cha utalii cha Shibaozhai kinaonekana kama bonsai yenye umbo la moyo iliyoko katikati ya sehemu ya Magenge Matatu ya Mto Changjiang wa China. Kwenye sehemu hiyo kuna pagoda ya mbao yenye ghorofa 12 na urefu wa mita 56 ambayo inasimama juu ya nguzo 20 na kuegemea miamba iliyo karibu na mto huo. Ujenzi wa pagoda hiyo ulianzia Enzi ya Ming (1368-1644) ya China katika zama za kale, na pagoda hiyo ni sehemu ya kivutio kikuu cha utalii kwenye eneo la Shibaozhai.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 免费高清a级毛片在线播放| 公和我乱做好爽添厨房中文字幕| 高清中国一级毛片免费| 制服丝袜电影在线观看| 欧美牲交a欧美牲交aⅴ免费真| 狠狠夜色午夜久久综合热91| 国产三级a三级三级| 国产A√精品区二区三区四区| 激情三级hd中文字幕| a级特黄的片子| 波多野结衣办公室jian情| 伊人色在线视频| 欧美另类视频videosbest18| 日韩一区二区三| 午夜片在线观看| 黑人与中国女一级毛片不卡| 国产性夜夜春夜夜爽三级| 久久精品国产91久久综合麻豆自制| 中文字幕乱码中文乱码51精品| 精品性高朝久久久久久久| 国产精品美女久久久网av| 你懂的免费在线| 摸进她的内裤里疯狂揉她动图视频| 69xxxx日本| 亚洲熟妇中文字幕五十中出| 欧美日韩精品在线播放| 国产精品另类激情久久久免费| 成人性一级视频在线观看| 久久久久久青草大香综合精品| 国产熟女一区二区三区五月婷| 国产探花在线视频| 最好看免费中文字幕2019| 精品久久久久久无码人妻热| 亚洲人成网男女大片在线播放| 自拍偷自拍亚洲精品偷一| 国产成人免费ā片在线观看| 成**人特级毛片www免费| 麻豆久久婷婷综合五月国产| 中文字幕激情视频| 日韩欧美精品在线观看| 国产呻吟久久久久久久92|