<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Waandishi wa habari wa nchi za Latin Amerika wajaribu utengenezaji?batiki za buluu wa mbinu?ya kale?katika Kijiji cha Mingyue, mkoani?Chengdu, China (2)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 24, 2024
    Waandishi wa habari wa nchi za Latin Amerika wajaribu utengenezaji?batiki za buluu wa mbinu?ya kale?katika Kijiji cha Mingyue, mkoani?Chengdu, China
    Mwandishi wa habari wa ujumbe wa vyombo vya habari kutoka nchi za Latin Amerika akieleza ufundi wa utengenezaji batiki za buluu wa mbinu za kale kwa hadhira ya nchi yake. (People’s Daily Online/Wang Xiaoxia)

    Ujumbe wa waandishi wa habari kutoka nchi za Latin Amerika, unaojumuisha waandishi wa habari kutoka Argentina, Brazil, Colombia, Peru na nchi nyingine, walikwenda katika Kijiji cha Mingyue kilichoko Wilaya ya Pujiang, Mji wa Chengdu, Mkoa wa Sichuan, China Septemba 23, ili kujionea mradi wa urithi wa utamaduni usioshikika wa mbinu ya kale ya utengenezaji batiki za buluu na kuhisi hamasa ya urithi wa kitamaduni wa eneo hilo.

    Kwa mujibu wa habari zilizotolewa, rangi zilizotumika katika mbinu hiyo ya kale ya utengenezaji batiki za buluu, ni rangi asilia kabisa za mimea zilizotolewa kutoka mmea wa isatis indigotica. Ufundi huu wa kutengeneza batiki ulianzia Enzi za Qin na Han za China ya kale na una historia ya maelfu ya miaka.

    Chini ya mwongozo wa mafundi wenyeji, waandishi hao wa habari walishiriki katika mchakato mzima wa utengenezaji batiki na kutengeneza kwa mafanikio kazi za kipekee zenye umaalum wao wenyewe. Pia walielezea kwa hamasa kubwa ufundi huo wa utengenezaji batiki kutoka China kwa hadhira zao. .

    Katika miaka ya hivi karibuni, Kijiji hicho cha Mingyue kimekuwa kikitilia maanani utumiaji wa urithi wa utamaduni usioshikika katika kutekeleza kwa vitendo ustawishaji wa vijijini. Kwa kuanzisha chapa maalum za kitamaduni, kimevutia ufuatiliaji kutoka ulimwengu wa nje na kuwa mfano mzuri wa kuigwa wa ustawishaji wa vijijini na maendeleo ya vijijini.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 台湾无码一区二区| 国产精品网址在线观看你懂的| 欧美日韩在线视频免费完整| 麻豆狠色伊人亚洲综合网站| 国产黄三级高清在线观看播放| 北条麻妃jul一773在线看| 国产性夜夜夜春夜夜爽| 五月婷婷激情视频| 久久精品无码一区二区三区| 亚洲精品国产情侣av在线| 综合欧美一区二区三区| 欧美日韩视频在线| 激情五月亚洲色图| 免费国产黄网站在线观看视频| 国产男女野战视频在线看| 国模欢欢炮交啪啪150| 亚洲色图黄色小说| 色综合天天综合中文网| 亚洲国产欧美日韩| 在线观看免费午夜大片| 久久精品99久久香蕉国产| 波多野结衣有一部紧身裙女教师| 国产激情视频在线| 动漫做羞羞的视频免费观看| 视频久re精品在线观看| 黑人操日本美女| 99久久超碰中文字幕伊人| j8又粗又硬又大又爽视频| 妓女嫖客叫床粗话对白| 人妻少妇精品视频一区二区三区| www.羞羞视频| 一本久久精品一区二区| a级毛片毛片免费观看久潮| 怡红院在线观看视频| 69影院毛片免费观看视频在线| 黑人巨大白妞出浆| 成年性生交大片免费看| 亚洲第一黄色网| 久久精品无码专区免费| 亚洲欧美综合国产不卡| 波多野结衣mdyd907|