<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Waandishi wa habari wa nchi za Latin Amerika wajaribu utengenezaji?batiki za buluu wa mbinu?ya kale?katika Kijiji cha Mingyue, mkoani?Chengdu, China (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 24, 2024
    Waandishi wa habari wa nchi za Latin Amerika wajaribu utengenezaji?batiki za buluu wa mbinu?ya kale?katika Kijiji cha Mingyue, mkoani?Chengdu, China
    Waandishi wa habari wa ujumbe wa vyombo vya habari kutoka nchi za Latin Amerika wakionyesha kazi zao wenyewe za batiki ambazo wamezitengeneza kwa ufundi wa utengenezaji batiki za buluu wa mbinu za kale. (People’s Daily Online/Zhu Hong)

    Ujumbe wa waandishi wa habari kutoka nchi za Latin Amerika, unaojumuisha waandishi wa habari kutoka Argentina, Brazil, Colombia, Peru na nchi nyingine, walikwenda katika Kijiji cha Mingyue kilichoko Wilaya ya Pujiang, Mji wa Chengdu, Mkoa wa Sichuan, China Septemba 23, ili kujionea mradi wa urithi wa utamaduni usioshikika wa mbinu ya kale ya utengenezaji batiki za buluu na kuhisi hamasa ya urithi wa kitamaduni wa eneo hilo.

    Kwa mujibu wa habari zilizotolewa, rangi zilizotumika katika mbinu hiyo ya kale ya utengenezaji batiki za buluu, ni rangi asilia kabisa za mimea zilizotolewa kutoka mmea wa isatis indigotica. Ufundi huu wa kutengeneza batiki ulianzia Enzi za Qin na Han za China ya kale na una historia ya maelfu ya miaka.

    Chini ya mwongozo wa mafundi wenyeji, waandishi hao wa habari walishiriki katika mchakato mzima wa utengenezaji batiki na kutengeneza kwa mafanikio kazi za kipekee zenye umaalum wao wenyewe. Pia walielezea kwa hamasa kubwa ufundi huo wa utengenezaji batiki kutoka China kwa hadhira zao. .

    Katika miaka ya hivi karibuni, Kijiji hicho cha Mingyue kimekuwa kikitilia maanani utumiaji wa urithi wa utamaduni usioshikika katika kutekeleza kwa vitendo ustawishaji wa vijijini. Kwa kuanzisha chapa maalum za kitamaduni, kimevutia ufuatiliaji kutoka ulimwengu wa nje na kuwa mfano mzuri wa kuigwa wa ustawishaji wa vijijini na maendeleo ya vijijini.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 欧美一级二级三级视频| 精品精品国产高清a级毛片| 美女范冰冰hdxxxx| 日本一区二区三区不卡在线视频| 国产精品久久久久久一区二区三区| 欧美A级毛欧美1级a大片免费播放| www.天天干| 老师别揉我胸啊嗯上课呢视频| 亚洲fuli在线观看| 少妇丰满爆乳被呻吟进入| 欧美精品国产综合久久| 97碰公开在线观看免费视频| 一级日本高清视频免费观看| 波多野结衣一区二区免费视频| 一级毛片a免费播放王色| 人妖在线精品一区二区三区| 久久久99久久久国产自输拍| 天堂草原电视剧在线观看免费| 成人免费小视频| а√天堂资源官网在线资源| 变态调教视频国产九色| 强3d不知火舞视频无掩挡网站| 一区二区三区国产最好的精华液| 最近中文国语字幕在线播放| 日本亚洲黄色片| 亚洲av无码国产精品麻豆天美| 人妻影音先锋啪啪av资源| 在线免费你懂的| 国产免费色视频| 国产精品毛片一区二区| 无码人妻精品一二三区免费| 蜜桃视频无码区在线观看| 小说区亚洲自拍另类| 国产精品久久久久久久| 国产一区二区三区不卡在线观看| 麻豆人妻少妇精品无码专区| 色综合久久88色综合天天| 亚洲图片第一页| 国产精品福利一区二区| 亚洲中文字幕在线第六区| 久青草影院在线观看国产|