<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Waandishi wa habari wa nchi za Latin Amerika wajaribu utengenezaji?batiki za buluu wa mbinu?ya kale?katika Kijiji cha Mingyue, mkoani?Chengdu, China (4)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 24, 2024
    Waandishi wa habari wa nchi za Latin Amerika wajaribu utengenezaji?batiki za buluu wa mbinu?ya kale?katika Kijiji cha Mingyue, mkoani?Chengdu, China
    Bidhaa za batiki zilizotengenezwa kwa ufundi wa kutengeneza batiki za buluu kwa mbinu za kale zikiwa ndani ya Karakana ya Utengenezaji Batiki za buluu katika Kijiji cha Mingyue. (People’s Daily Online/Wang Xiaoxia)

    Ujumbe wa waandishi wa habari kutoka nchi za Latin Amerika, unaojumuisha waandishi wa habari kutoka Argentina, Brazil, Colombia, Peru na nchi nyingine, walikwenda katika Kijiji cha Mingyue kilichoko Wilaya ya Pujiang, Mji wa Chengdu, Mkoa wa Sichuan, China Septemba 23, ili kujionea mradi wa urithi wa utamaduni usioshikika wa mbinu ya kale ya utengenezaji batiki za buluu na kuhisi hamasa ya urithi wa kitamaduni wa eneo hilo.

    Kwa mujibu wa habari zilizotolewa, rangi zilizotumika katika mbinu hiyo ya kale ya utengenezaji batiki za buluu, ni rangi asilia kabisa za mimea zilizotolewa kutoka mmea wa isatis indigotica. Ufundi huu wa kutengeneza batiki ulianzia Enzi za Qin na Han za China ya kale na una historia ya maelfu ya miaka.

    Chini ya mwongozo wa mafundi wenyeji, waandishi hao wa habari walishiriki katika mchakato mzima wa utengenezaji batiki na kutengeneza kwa mafanikio kazi za kipekee zenye umaalum wao wenyewe. Pia walielezea kwa hamasa kubwa ufundi huo wa utengenezaji batiki kutoka China kwa hadhira zao. .

    Katika miaka ya hivi karibuni, Kijiji hicho cha Mingyue kimekuwa kikitilia maanani utumiaji wa urithi wa utamaduni usioshikika katika kutekeleza kwa vitendo ustawishaji wa vijijini. Kwa kuanzisha chapa maalum za kitamaduni, kimevutia ufuatiliaji kutoka ulimwengu wa nje na kuwa mfano mzuri wa kuigwa wa ustawishaji wa vijijini na maendeleo ya vijijini.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 日韩精品在线一区二区| 欧美性色黄大片www| 亚洲伊人色欲综合网| 啊轻点灬大ji巴太粗小说太男| 中国美团外卖男男china| 成人午夜大片免费7777| 亚洲av无码专区在线播放| 小莹与翁回乡下欢爱姿势| 免费一级毛片在线播放| 波多野结衣女教师在线观看| 亚洲日本视频在线观看| 免费看欧美成人性色生活片| 天天做人人爱夜夜爽2020毛片| 午夜两性色视频免费网站| 18级成人毛片免费观看| 国产丰满麻豆videossexhd| 在线观看中文字幕国产| 嫩草影院一二三| 免费a级毛片大学生免费观看| 草莓视频污污在线观看| 久久精品国产久精国产| 久久一区二区三区免费播放| 青青青手机视频| 精品国产一区二区三区在线| 用劲好爽快点要喷了视频| 在线精品91青草国产在线观看| 青娱乐国产在线| aⅴ免费在线观看| 中文字幕成人免费视频| 精品蜜臀久久久久99网站| 野外做受又硬又粗又大视频| 一区二区视频在线播放| 久久精品国产69国产精品亚洲| 欧美黑人xxxx性高清版| 乱之荡艳岳目录| 乳揉みま痴汉电车动漫中文字幕| 国产日韩精品欧美一区| 99久久伊人精品综合观看| 日本xxxx在线| 国产乱妇无码大黄aa片| 调教双乳玉势揉捏h捆绑小说|