<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Habari picha: Wahifadhi wajitolea kulinda hifadhi ya mazingira ya asili katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China (2)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 15, 2023
    Habari picha: Wahifadhi wajitolea kulinda hifadhi ya mazingira ya asili katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China
    Picha hii iliyopigwa Agosti 12, 2023 ikionyesha mandhari katika kituo cha usimamizi cha Tiantangzhai katika Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Anhui Tianma, Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China, Agosti 12, 2023. (Xinhua/Huang Bohan)

    Wang Kedong na Gao Kaiyu, wote wenye umri wa miaka 58, ni walinzi na wahifadhi wa kituo cha usimamizi cha Tiantangzhai cha Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Anhui Tianma nchini China. Wanaishi milimani mwaka mzima na wamekuwa wakishika doria kila siku kwenye njia yenye urefu wa zaidi ya kilomita 20 kwa miaka 25.

    Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Anhui Tianma nchini China ilianzishwa Mwaka 1998 ikiwa katika msingi wa hifadhi mbili za zamani za Mkoa wa Anhui. Iko kwenye eneo la mpito kutoka eneo la nusu tropiki hadi eneo la joto vuguvugu ikiwa na rasilimali nyingi za wanyama na mimea. Kwa vile viumbe wengi adimu na walio hatarini kutoweka wanaishi hapa, kazi ya uhifadhi na ulinzi katika hifadhi hii ni muhimu sana.

    Doria na ulinzi wa misitu ni kazi ya kila siku ya wanandoa hawa wawili. Wang amesema, kuna njia saba za doria za kila siku kwa wanandoa hao, na njia ndefu zaidi ni yenye urefu wa zaidi ya kilomita 30 kwenda na kurudi, ambayo inachukua zaidi ya masaa 10 kukamilika. Kwa kukadiria kwa haraka, wawili hao wameshavaa na kuchakaza karibu jozi 1,000 za viatu na kushika doria kwenye eneo lenye urefu wa zaidi ya kilomita 200,000 katika miaka 25 iliyopita. Chini ya ulinzi na uhifadhi wao, kumekuwa hakuna ukataji miti ovyo na ujangili wa wanyama pori katika hifadhi hiyo kwa miaka mingi.

    "Tuna hisia za kina kwa mlima. Ilimradi tu tunaweza kutembea, tutalinda milima hii na misitu hii kila wakati." Wang na mkewe wamesema.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 国产国语在线播放视频| 1300部小u女视频大全合集| 免费久久人人爽人人爽AV| 性短视频在线观看免费不卡流畅| 精品国产免费一区二区三区香蕉| 亚洲欧美中文字幕5发布| 91精品福利视频| 免费看美女脱衣服| 公用玩物(np双xing总受)by单唯安| 伊人亚洲综合网| 波多野结衣中文字幕电影| 日本肉动漫无遮挡无删减在线观看| 蜜桃麻豆www久久囤产精品| 晚上看b站直播软件| 2021果冻传媒剧情在线观看| 久久国产真实乱对白| 北岛玲亚洲一区在线观看| 香蕉视频成人在线观看| 欧美一区二区久久精品| 欧美午夜在线视频| 国产精品亚洲一区在线播放| 色就色欧美综合偷拍区a| 亚洲欧美另类久久久精品能播放的| 收集最新中文国产中文字幕| yy111111少妇影院无码| 窝窝午夜看片七次郎青草视频| 亚洲VA中文字幕无码毛片| 2021最新热播欧美极品| 久草免费手机视频| 美女**毛片一级视频| 精品四虎免费观看国产高清午夜| 天天爽夜夜爽人人爽| 日出水了特别黄的视频| 午夜视频免费看| 黄色大片网站在线观看| 国产欧美精品区一区二区三区| 亚洲一欧洲中文字幕在线| 快穿之性色无边(高h)| 天天干天天操天天操| 欧美日韩精品一区二区三区高清视频| 看看镜子里我是怎么c哭你的|