<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Habari picha: Wahifadhi wajitolea kulinda hifadhi ya mazingira ya asili katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 15, 2023
    Habari picha: Wahifadhi wajitolea kulinda hifadhi ya mazingira ya asili katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China
    Wang Kedong akinywa maji ya mto wakati akifanya doria katika kituo cha usimamizi cha Tiantangzhai katika Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Anhui Tianma, Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China, Agosti 12, 2023. (Xinhua/Huang Bohan)

    Wang Kedong na Gao Kaiyu, wote wenye umri wa miaka 58, ni walinzi na wahifadhi wa kituo cha usimamizi cha Tiantangzhai cha Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Anhui Tianma nchini China. Wanaishi milimani mwaka mzima na wamekuwa wakishika doria kila siku kwenye njia yenye urefu wa zaidi ya kilomita 20 kwa miaka 25.

    Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Anhui Tianma nchini China ilianzishwa Mwaka 1998 ikiwa katika msingi wa hifadhi mbili za zamani za Mkoa wa Anhui. Iko kwenye eneo la mpito kutoka eneo la nusu tropiki hadi eneo la joto vuguvugu ikiwa na rasilimali nyingi za wanyama na mimea. Kwa vile viumbe wengi adimu na walio hatarini kutoweka wanaishi hapa, kazi ya uhifadhi na ulinzi katika hifadhi hii ni muhimu sana.

    Doria na ulinzi wa misitu ni kazi ya kila siku ya wanandoa hawa wawili. Wang amesema, kuna njia saba za doria za kila siku kwa wanandoa hao, na njia ndefu zaidi ni yenye urefu wa zaidi ya kilomita 30 kwenda na kurudi, ambayo inachukua zaidi ya masaa 10 kukamilika. Kwa kukadiria kwa haraka, wawili hao wameshavaa na kuchakaza karibu jozi 1,000 za viatu na kushika doria kwenye eneo lenye urefu wa zaidi ya kilomita 200,000 katika miaka 25 iliyopita. Chini ya ulinzi na uhifadhi wao, kumekuwa hakuna ukataji miti ovyo na ujangili wa wanyama pori katika hifadhi hiyo kwa miaka mingi.

    "Tuna hisia za kina kwa mlima. Ilimradi tu tunaweza kutembea, tutalinda milima hii na misitu hii kila wakati." Wang na mkewe wamesema.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 法国性经典xxxxhd| 十六以下岁女子毛片免费| 国语对白avxxxooo| 国产精品亚洲四区在线观看| 小雪校花的好大的奶好爽| 成人18xxxx网站| youjizz国产| 亚洲综合伊人制服丝袜美腿| 久青草影院在线观看国产| 荡女淫春护土bd在线观看| 青娱乐国产在线| 污污的软件下载| 国产精品va无码免费麻豆| 亚洲av无码一区二区三区dv| 午夜寂寞在线一级观看免费| 欧美精品久久久久久久自慰| 亚洲成a人片77777老司机| 四虎影视永久地址www成人| 一级做a毛片免费视频| AV无码久久久久久不卡网站| 稚嫩进出嗯啊湿透公交车漫画| 美女被免费喷白浆视频| 日韩在线中文字幕| 公交车老师屁股迎合我摩擦| 国产伦精品一区二区三区| 欧美精品一区二区三区视频| 久久国产一区二区三区| 再深点灬舒服灬太大了快点h视频| av无码av天天av天天爽| 天天操天天摸天天射| 国产精品VA在线播放| 欧美成人看片黄a免费看| 国产情侣一区二区三区| 北条麻妃在线观看视频| 欧美性大战xxxxx久久久| 91精品国产网曝事件门| 美女和男生一起差差差| 天堂资源在线www中文| 日本在线高清视频日本在线观看成人小视频| 男女抽搐动态图| 人妻少妇精品视频一区二区三区|