<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Habari picha: Wahifadhi wajitolea kulinda hifadhi ya mazingira ya asili katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 15, 2023
    Habari picha: Wahifadhi wajitolea kulinda hifadhi ya mazingira ya asili katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China
    Wang Kedong akimwondoa ruba kwenye kiatu chake katika kituo cha usimamizi cha Tiantangzhai katika Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Anhui Tianma, Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China, Agosti 12, 2023. (Xinhua/Huang Bohan)

    Wang Kedong na Gao Kaiyu, wote wenye umri wa miaka 58, ni walinzi na wahifadhi wa kituo cha usimamizi cha Tiantangzhai cha Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Anhui Tianma nchini China. Wanaishi milimani mwaka mzima na wamekuwa wakishika doria kila siku kwenye njia yenye urefu wa zaidi ya kilomita 20 kwa miaka 25.

    Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Anhui Tianma nchini China ilianzishwa Mwaka 1998 ikiwa katika msingi wa hifadhi mbili za zamani za Mkoa wa Anhui. Iko kwenye eneo la mpito kutoka eneo la nusu tropiki hadi eneo la joto vuguvugu ikiwa na rasilimali nyingi za wanyama na mimea. Kwa vile viumbe wengi adimu na walio hatarini kutoweka wanaishi hapa, kazi ya uhifadhi na ulinzi katika hifadhi hii ni muhimu sana.

    Doria na ulinzi wa misitu ni kazi ya kila siku ya wanandoa hawa wawili. Wang amesema, kuna njia saba za doria za kila siku kwa wanandoa hao, na njia ndefu zaidi ni yenye urefu wa zaidi ya kilomita 30 kwenda na kurudi, ambayo inachukua zaidi ya masaa 10 kukamilika. Kwa kukadiria kwa haraka, wawili hao wameshavaa na kuchakaza karibu jozi 1,000 za viatu na kushika doria kwenye eneo lenye urefu wa zaidi ya kilomita 200,000 katika miaka 25 iliyopita. Chini ya ulinzi na uhifadhi wao, kumekuwa hakuna ukataji miti ovyo na ujangili wa wanyama pori katika hifadhi hiyo kwa miaka mingi.

    "Tuna hisia za kina kwa mlima. Ilimradi tu tunaweza kutembea, tutalinda milima hii na misitu hii kila wakati." Wang na mkewe wamesema.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 91香蕉视频污污| 99久久免费精品国产72精品九九| 我和娇妻乱荡史| 国产乱理伦片a级在线观看| 国产日韩亚洲欧美| a级毛片毛片免费观看久潮| 中文乱码字幕午夜无线观看| 特级深夜a级毛片免费观看| 亚洲免费色视频| 国产换爱交换乱理伦片| 精品国产不卡一区二区三区| 精品一区二区三区中文字幕| 久青青在线观看视频国产| 人妻无码一区二区视频| xxxx69hd老师| 国产女人的一级毛片视频| 国内精品久久久久久久97牛牛| 乖帮我拉开拉链它想你| 午夜dj在线观看免费视频| 在线观看精品视频网站www| 亚洲精品国产成人中文| 日韩精品国产一区| 国产高清不卡视频| chinesestockings国产| 亚洲精品成人网久久久久久| 成人欧美一区二区三区1314| 欧美裸体XXXX极品少妇| 青青青青青青久久久免费观看| 午夜福利视频合集1000| 亚洲国产成人久久综合碰碰动漫3d| 天堂在线最新资源| 胸奶好大好紧好湿好爽| 八戒网站免费观看视频| 被夫上司持续入侵大桥未久| av天堂午夜精品一区| 欧美亚洲综合视频| 中文字幕在线久热精品| 欧美高清一区二区三区| 天天拍拍天天爽免费视频| 乱人伦人妻中文字幕在线入口| 国产三级精品三级在线观看|