<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Habari picha: Wahifadhi wajitolea kulinda hifadhi ya mazingira ya asili katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China (6)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 15, 2023
    Habari picha: Wahifadhi wajitolea kulinda hifadhi ya mazingira ya asili katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China
    Wang Kedong na mkewe Gao Kaiyu wakifanya doria kwenye kituo cha usimamizi cha Tiantangzhai katika Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Anhui Tianma, Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China, Agosti 12, 2023. (Xinhua/Huang Bohan)

    Wang Kedong na Gao Kaiyu, wote wenye umri wa miaka 58, ni walinzi na wahifadhi wa kituo cha usimamizi cha Tiantangzhai cha Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Anhui Tianma nchini China. Wanaishi milimani mwaka mzima na wamekuwa wakishika doria kila siku kwenye njia yenye urefu wa zaidi ya kilomita 20 kwa miaka 25.

    Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Anhui Tianma nchini China ilianzishwa Mwaka 1998 ikiwa katika msingi wa hifadhi mbili za zamani za Mkoa wa Anhui. Iko kwenye eneo la mpito kutoka eneo la nusu tropiki hadi eneo la joto vuguvugu ikiwa na rasilimali nyingi za wanyama na mimea. Kwa vile viumbe wengi adimu na walio hatarini kutoweka wanaishi hapa, kazi ya uhifadhi na ulinzi katika hifadhi hii ni muhimu sana.

    Doria na ulinzi wa misitu ni kazi ya kila siku ya wanandoa hawa wawili. Wang amesema, kuna njia saba za doria za kila siku kwa wanandoa hao, na njia ndefu zaidi ni yenye urefu wa zaidi ya kilomita 30 kwenda na kurudi, ambayo inachukua zaidi ya masaa 10 kukamilika. Kwa kukadiria kwa haraka, wawili hao wameshavaa na kuchakaza karibu jozi 1,000 za viatu na kushika doria kwenye eneo lenye urefu wa zaidi ya kilomita 200,000 katika miaka 25 iliyopita. Chini ya ulinzi na uhifadhi wao, kumekuwa hakuna ukataji miti ovyo na ujangili wa wanyama pori katika hifadhi hiyo kwa miaka mingi.

    "Tuna hisia za kina kwa mlima. Ilimradi tu tunaweza kutembea, tutalinda milima hii na misitu hii kila wakati." Wang na mkewe wamesema.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 国产精品国产三级专区第1集| 久久精品免费视频观看| 四虎影在永久地址在线观看| 亚洲色偷偷色噜噜狠狠99| 女人把私密部位张开让男人桶| 成黄色激情视频网站| 欧美一级视频在线观看欧美| 钻胯羞辱的视频vk| 美女胸又大又黄又www的网站| 黑人巨大videos极度另类| 狠狠色综合色区| 在线观看www日本免费网站| 亚洲欧美日韩在线观看| 九九热线有精品视频99| 永久免费无码网站在线观看个| 男人和女人做免费做爽爽视频| 色偷偷人人澡人人爽人人模| 羞羞色在线观看| 男女一级爽爽快视频| 国产精品素人福利| 亚洲精品一区二区三区四区乱码| 国产亚洲精品无码成人| 国产男女无遮挡猛进猛出| 欧美丰满白嫩bbwbbw| www.色亚洲| 日本边添边摸边做边爱的视频| 欧洲mv日韩mv国产mv| 撒尿bbwbbw| 国产在线国偷精品免费看| 永久看日本大片免费35分钟| www.黄色在线| www.日本高清视频| 精品久久久久久无码中文字幕一区| 一区在线观看视频| 国产香蕉在线观看| 免费人成黄页在线观看国产| 我要看一级黄色毛片| 一级特级女人18毛片免费视频| 亚洲综合图片网| 538在线视频二三区视视频| 欧美日韩精品一区二区三区高清视频|