<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Habari Picha ya walinzi wa Hoh Xil, eneo la makazi muhimu kwa swala wa Tibet huko Qinghai wa China (2)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 16, 2023
    Habari Picha ya walinzi wa Hoh Xil, eneo la makazi muhimu kwa swala wa Tibet huko Qinghai wa China
    Mfanyakazi wa ofisi ya usimamizi ya Hoh Xil akiwalisha ndama wa swala wa Tibet waliokolewa huko Hoh Xil, Mkoa wa Qinghai, Kaskazini-Magharibi mwa China, Julai 28, 2023. (Xinhua/Zhang Hongxiang)

    Ikijulikana kuwa mojawapo ya uhamaji kwa makundi wa kushangaza zaidi duniani wa wanyama wenye kwato, safari hii ya swala wa Tibet lazima ikabiliane na hali mbaya ya hewa na uvamizi wa wanyama pori. Walinzi hawa wa Hoh Xil wamekuwa wakiwalinda swala wa Tibet kwa miongo kadhaa.

    Hoh Xil inajulikana kama eneo kubwa zaidi la China la urithi wa asili wa Dunia, ikidumisha mfumo wa ikolojia wa mwinuko na spishi za kipekee za Uwanda wa Juu wa Qinghai-Tibet. Tangu kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa ya Mazingira Asilia ya Hoh Xil, vituo sita vya ulinzi vimeanzishwa kimoja baada ya kingine. Mbali na kufanya kazi kwa zamu, makundi ya wafanyakazi pia hufanya doria kwa pande zote ndani ya eneo la hifadhi mara kwa mara. Doria ndogo hufanyika mara moja kila baada ya siku tatu wakati doria kubwa hufanyika angalau mara moja kwa mwezi. Hadi sasa, watu wa vizazi vitatu vya wafanya doria wamekuwa wakilinda ardhi ya Hoh Xil, ambayo imekuwa eneo muhimu kwa ulinzi wa wanyamapori na ulinzi wa kiikolojia nchini China. Idadi ya swala wa Tibet katika Hoh Xil imeongezeka kutoka chini ya 20,000 miaka ya 1980 hadi zaidi ya 70,000 sasa.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 蜜芽国产尤物AV尤物在线看| 欧美人与z0xxx另类| 无遮挡无删动漫肉在线观看| 久久6这里只有精品| 国产探花在线视频| 亚洲免费福利视频| 男女啪啪免费体验区| 97色偷偷色噜噜狠狠爱网站97| 国产乱码一区二区三区爽爽爽| 国产精品第九页| 永久在线观看www免费视频| 一级做α爱**毛片| 2022国产成人福利精品视频| 亚洲av无码精品国产成人| 香港aa三级久久三级老师| 噜噜高清欧美内射短视频| 欧美线在线精品观看视频| xxxxx做受大片视频| 免费黄色欧美视频| 久久综合五月婷婷| 国产免费人人看大香伊| 亚洲另类图片另类电影| 蜜臀亚洲AV无码精品国产午夜.| 人人爽人人爽人人片a免费| 废柴视频网最新fcww78| 国产三级观看久久| 亚洲国产品综合人成综合网站| 狠狠躁夜夜躁人人爽超碰97香蕉| 淫术の馆在动漫在线播放| 免费h视频在线观看| 亚洲国产精品视频| 久久99中文字幕| 国产成人精品三级在线| h视频免费高清在线观看| 波多野结衣中文字幕一区二区三区| 无码不卡中文字幕av| 国产成人精品免费直播| 国产成人亚综合91精品首页| 性生活大片免费观看| 中文字幕在线欧美| 日韩一区二三区国产好的精华液|