<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Habari Picha ya walinzi wa Hoh Xil, eneo la makazi muhimu kwa swala wa Tibet huko Qinghai wa China (8)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 16, 2023
    Habari Picha ya walinzi wa Hoh Xil, eneo la makazi muhimu kwa swala wa Tibet huko Qinghai wa China
    Kundi la swala wajawazito wa Tibet wakipitia Barabara Kuu ya Qinghai-Tibet na kuelekea eneo la Ziwa Drolkar huko Hoh Xil, Mkoa wa Qinghai, Kaskazini-Magharibi mwa China, Mei 29, 2023. (Xinhua/Zhang Hongxiang)

    Ikijulikana kuwa mojawapo ya uhamaji kwa makundi wa kushangaza zaidi duniani wa wanyama wenye kwato, safari hii ya swala wa Tibet lazima ikabiliane na hali mbaya ya hewa na uvamizi wa wanyama pori. Walinzi hawa wa Hoh Xil wamekuwa wakiwalinda swala wa Tibet kwa miongo kadhaa.

    Hoh Xil inajulikana kama eneo kubwa zaidi la China la urithi wa asili wa Dunia, ikidumisha mfumo wa ikolojia wa mwinuko na spishi za kipekee za Uwanda wa Juu wa Qinghai-Tibet. Tangu kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa ya Mazingira Asilia ya Hoh Xil, vituo sita vya ulinzi vimeanzishwa kimoja baada ya kingine. Mbali na kufanya kazi kwa zamu, makundi ya wafanyakazi pia hufanya doria kwa pande zote ndani ya eneo la hifadhi mara kwa mara. Doria ndogo hufanyika mara moja kila baada ya siku tatu wakati doria kubwa hufanyika angalau mara moja kwa mwezi. Hadi sasa, watu wa vizazi vitatu vya wafanya doria wamekuwa wakilinda ardhi ya Hoh Xil, ambayo imekuwa eneo muhimu kwa ulinzi wa wanyamapori na ulinzi wa kiikolojia nchini China. Idadi ya swala wa Tibet katika Hoh Xil imeongezeka kutoka chini ya 20,000 miaka ya 1980 hadi zaidi ya 70,000 sasa.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 国产亚洲视频在线播放大全| 国产一二三视频| 精品国产福利久久久| 毛片毛片免费看| 国产裸拍裸体视频在线观看| 神马老子不卡视频在线| 精品亚洲成AV人在线观看| 中文字幕无码日韩专区免费| 国产亚洲欧美日韩综合综合二区| 91麻豆精品国产片在线观看| 欧美老妇与禽交| 猛男强攻变骚受| 国产精品综合一区二区| 精品久久久久久无码人妻蜜桃| 青青青青青青久久久免费观看| www.99re| 亲密爱人免费观看完整版| 人人澡人人澡人人看| 无上神帝天天影院| 成人欧美一区二区三区的电影| 欧美色图校园春色| 中文字幕在线视频免费| 国内精品人妻无码久久久影院导航| 老师~你的技术真好好大| 国产麻豆综合视频在线观看| 精品人妻无码专区在中文字幕| 国产卡一卡二卡三卡四| 第一福利官方导航大全| 欧美一级片在线看| 亚洲免费观看在线视频| 久久这里精品国产99丫E6| 从镜子里看我怎么c你| 久久伊人久久亚洲综合| 别揉我的胸~啊~嗯~的视频| 午夜性伦鲁啊鲁免费视频| 被三个男人绑着躁我好爽视频| 亚洲欧美黄色片| 2021国产在线视频| 国产综合在线观看| 小莹与翁回乡下欢爱姿势| 美国式家庭禁忌|