<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Habari Picha ya walinzi wa Hoh Xil, eneo la makazi muhimu kwa swala wa Tibet huko Qinghai wa China (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 16, 2023
    Habari Picha ya walinzi wa Hoh Xil, eneo la makazi muhimu kwa swala wa Tibet huko Qinghai wa China
    Mfanyakazi wa ofisi ya usimamizi ya Hoh Xil akiwa katika picha ya pamoja na ndama wa swala wa Tibet waliookolewa huko Hoh Xil, Mkoa wa Qinghai, Kaskazini-Magharibi mwa China, Julai 28, 2023. (Xinhua/Zhang Hongxiang)

    Ikijulikana kuwa mojawapo ya uhamaji kwa makundi wa kushangaza zaidi duniani wa wanyama wenye kwato, safari hii ya swala wa Tibet lazima ikabiliane na hali mbaya ya hewa na uvamizi wa wanyama pori. Walinzi hawa wa Hoh Xil wamekuwa wakiwalinda swala wa Tibet kwa miongo kadhaa.

    Hoh Xil inajulikana kama eneo kubwa zaidi la China la urithi wa asili wa Dunia, ikidumisha mfumo wa ikolojia wa mwinuko na spishi za kipekee za Uwanda wa Juu wa Qinghai-Tibet. Tangu kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa ya Mazingira Asilia ya Hoh Xil, vituo sita vya ulinzi vimeanzishwa kimoja baada ya kingine. Mbali na kufanya kazi kwa zamu, makundi ya wafanyakazi pia hufanya doria kwa pande zote ndani ya eneo la hifadhi mara kwa mara. Doria ndogo hufanyika mara moja kila baada ya siku tatu wakati doria kubwa hufanyika angalau mara moja kwa mwezi. Hadi sasa, watu wa vizazi vitatu vya wafanya doria wamekuwa wakilinda ardhi ya Hoh Xil, ambayo imekuwa eneo muhimu kwa ulinzi wa wanyamapori na ulinzi wa kiikolojia nchini China. Idadi ya swala wa Tibet katika Hoh Xil imeongezeka kutoka chini ya 20,000 miaka ya 1980 hadi zaidi ya 70,000 sasa.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 亚洲欧美日韩久久精品第一区| 中文字幕被公侵犯的漂亮人妻| 无翼乌全彩之大雄医生| 蜜臀91精品国产高清在线观看| 久久夜色精品国产噜噜亚洲a| 9久9久热精品视频在线观看| 99久久精品免费看国产一区二区三区| 91短视频在线高清hd| 337p色噜噜人体大胆欧美| 亚洲欧美日韩高清中文在线| 日本一道本在线视频| 中文字幕yellow在线资源| 欧美日本精品一区二区三区| 狠狠久久永久免费观看| 国产青草视频在线观看| 国产亚洲精品精品精品| 日本免费无遮挡吸乳视频电影| 国产精品无码久久av| 国产精品大bbwbbwbbw| 国产孕妇孕交一级毛片| 久久久久亚洲AV成人无码| 国内色综合精品视频在线| 无遮无挡非常色的视频免费| 台湾swag在线观看| 波多野结衣教师在线观看| 97在线公开视频| 日韩欧美亚洲国产精品字幕久久久| 国产成人免费高清视频网址| 午夜性伦鲁啊鲁免费视频| 亚洲欧洲精品国产区| 国语free性xxxxxhd| 高清国产美女**毛片在线| 波多野结衣导航| 你懂的国产精品| 失禁h啪肉尿出来高h男男视频| 国产男女爽爽爽免费视频| 亚洲欧洲日本天天堂在线观看| 国产精品_国产精品_国产精品| 美女网站色在线观看| 亚洲精品国产高清不卡在线| 亚洲男人的天堂在线|