<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Habari Picha ya walinzi wa Hoh Xil, eneo la makazi muhimu kwa swala wa Tibet huko Qinghai wa China (4)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 16, 2023
    Habari Picha ya walinzi wa Hoh Xil, eneo la makazi muhimu kwa swala wa Tibet huko Qinghai wa China
    Mfanyakazi wa kituo cha ulinzi cha Ziwa Drolkar katika ofisi ya usimamizi ya Hoh Xil akikumbana na kuanguka kutokana na theluji nyingi akiwa njiani kuelekea kituo cha ulinzi cha Ziwa Drolkar huko Hoh Xil, Mkoa wa Qinghai, Kaskazini-Magharibi mwa China, Juni 16, 2023. (Xinhua/Zhang Hongxiang)

    Ikijulikana kuwa mojawapo ya uhamaji kwa makundi wa kushangaza zaidi duniani wa wanyama wenye kwato, safari hii ya swala wa Tibet lazima ikabiliane na hali mbaya ya hewa na uvamizi wa wanyama pori. Walinzi hawa wa Hoh Xil wamekuwa wakiwalinda swala wa Tibet kwa miongo kadhaa.

    Hoh Xil inajulikana kama eneo kubwa zaidi la China la urithi wa asili wa Dunia, ikidumisha mfumo wa ikolojia wa mwinuko na spishi za kipekee za Uwanda wa Juu wa Qinghai-Tibet. Tangu kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa ya Mazingira Asilia ya Hoh Xil, vituo sita vya ulinzi vimeanzishwa kimoja baada ya kingine. Mbali na kufanya kazi kwa zamu, makundi ya wafanyakazi pia hufanya doria kwa pande zote ndani ya eneo la hifadhi mara kwa mara. Doria ndogo hufanyika mara moja kila baada ya siku tatu wakati doria kubwa hufanyika angalau mara moja kwa mwezi. Hadi sasa, watu wa vizazi vitatu vya wafanya doria wamekuwa wakilinda ardhi ya Hoh Xil, ambayo imekuwa eneo muhimu kwa ulinzi wa wanyamapori na ulinzi wa kiikolojia nchini China. Idadi ya swala wa Tibet katika Hoh Xil imeongezeka kutoka chini ya 20,000 miaka ya 1980 hadi zaidi ya 70,000 sasa.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 最近中文字幕mv在线视频www| 日本精品视频一区二区三区| 两个人看的www免费视频| 男人使劲躁爽女人动态图| 亚洲电影在线免费观看| 老公和他朋友一块上我可以吗| 欧美精品亚洲精品日韩专区| 美女扒开大腿让男人桶| 免费v片在线观看视频网站| 欧美日韩综合网在线观看| 久久久久亚洲av成人无码| 三上悠亚在线电影| 亚洲综合无码一区二区| 美美女高清毛片视频免费观看| 国产精品ⅴ无码大片在线看| 国产精品www| 国产黄大片在线观看视频| 国产大片91精品免费观看男同| 欧美日本另类xxx乱大交| 好男人社区www影院在线观看| 日韩夜夜高潮夜夜爽无码| 免费在线视频你懂的| 无码人妻一区二区三区免费n鬼沢| 97se色综合一区二区二区| 久久午夜无码鲁丝片直播午夜精品| 国产欧美在线不卡| 99热国产免费| 一二三四在线观看免费高清视频| 波多野结衣中文无毒不卡| 中文字幕一区二区三区四区| 国产成人无码一区二区三区| 影院成人区精品一区二区婷婷丽春院影视| 国产69精品久久久久9999apgf| 亚洲激情视频图片| 在人间电影在线观看完整版免费| 明星ai换脸资源在线播放| 老色鬼久久综合第一| 欧美军人男男同videos可播放| 免费鲁丝片一级在线观看| 久久精品中文字幕一区| 污污的视频在线免费观看|