<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani yafunguliwa Harbin, China (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 08, 2024
    Bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani yafunguliwa Harbin, China
    Watalii wakionekana kwenye bustani ya ndani ya barafu na theluji huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Julai 6, 2024. (Picha na Zhang Tao/Xinhua)

    Watalii wanaotembelea Harbin, "Mji wa Barafu" wa China ulioko Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini kabisa mwa China, sasa wana kivutio kipya cha kutembelea, ambacho ni bustani ya ndani ya barafu na theluji iliyofunguliwa siku ya Jumamosi.

    Ikiwa imejengwa kwenye eneo la ukubwa wa mita za mraba 23,800, bustani hiyo imeshinda Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kuwa bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani.

    Meneja wa bustani hiyo amesema kuwa kituo hicho kina sehemu tisa zenye maudhui mbalimbali zikionyesha sanamu za barafu zinazoonyesha uhalisia wa maisha ziking'arishwa na mwanga wa rangi mbalimbali. Bustani hiyo hudumisha halijoto isiyobadilika ili kupokea watalii kwa majira ya mwaka mzima.

    Bustani hiyo itaenda sambamba na Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin, ambayo ni bustani kinara ya nje ya barafu na theluji inayochukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 810,000, na hivyo itaifanya Harbin kuwa kivutio cha mapumziko na utalii kinachofaa majira yote.

    Mji wa Harbin wenye majira ya baridi kali unajulikana kwa tamasha lake la kila mwaka la barafu na theluji. Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin ilipokea wastani wa watalii zaidi ya 30,000 kila siku katika majira ya baridi yaliyopita.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 国产SUV精品一区二区88L| 亚洲精品高清国产一久久| eeuss在线兵区免费观看| 亚洲精品伊人久久久久| 女人战争免费观看韩国| 欧洲卡一卡二卡在线| 精品一区二区三区av天堂| 亚洲a级成人片在线观看| 日韩精品无码一区二区三区AV| 国产免费69成人精品视频| 无码中文字幕日韩专区| 中文字幕第38页永久乱码| 亚洲欧美另类色图| 1024视频基地| 一级一片免费视频播放| 国产人妖在线播放| 中文字幕一区二区三区久久网站| 母子俩肥水不流外人田| 狠狠躁天天躁无码中文字幕图| 精品69久久久久久99| 欧欧美18videosex性哦欧美美| 国产成人精品综合在线| 国产黄大片在线观看| 国产精品免费_区二区三区观看| 91全国探花精品正在播放| 国模私拍福利一区二区| 国产精品社区在线观看| 久久久精品久久久久久96| 在线观看无码av网站永久免费| 明星造梦一区二区| 国产18禁黄网站免费观看| 国产成人www免费人成看片| 国产一级伦理片| 精品国产一二三产品价格| 在线视频一区二区三区四区| a色毛片免费视频| 日本理论片www视频| 国产一区二区三区不卡在线观看| jizz中文字幕| 中文字幕在线免费视频| yy6080午夜一级毛片超清|