<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani yafunguliwa Harbin, China (6)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 08, 2024
    Bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani yafunguliwa Harbin, China
    Mtalii akionekana kwenye bustani ya ndani ya barafu na theluji huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Julai 6, 2024. (Picha na Xie Jianfei/Xinhua)

    Watalii wanaotembelea Harbin, "Mji wa Barafu" wa China ulioko Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini kabisa mwa China, sasa wana kivutio kipya cha kutembelea, ambacho ni bustani ya ndani ya barafu na theluji iliyofunguliwa siku ya Jumamosi.

    Ikiwa imejengwa kwenye eneo la ukubwa wa mita za mraba 23,800, bustani hiyo imeshinda Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kuwa bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani.

    Meneja wa bustani hiyo amesema kuwa kituo hicho kina sehemu tisa zenye maudhui mbalimbali zikionyesha sanamu za barafu zinazoonyesha uhalisia wa maisha ziking'arishwa na mwanga wa rangi mbalimbali. Bustani hiyo hudumisha halijoto isiyobadilika ili kupokea watalii kwa majira ya mwaka mzima.

    Bustani hiyo itaenda sambamba na Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin, ambayo ni bustani kinara ya nje ya barafu na theluji inayochukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 810,000, na hivyo itaifanya Harbin kuwa kivutio cha mapumziko na utalii kinachofaa majira yote.

    Mji wa Harbin wenye majira ya baridi kali unajulikana kwa tamasha lake la kila mwaka la barafu na theluji. Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin ilipokea wastani wa watalii zaidi ya 30,000 kila siku katika majira ya baridi yaliyopita.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 日本高清乱码中文字幕| 黄色软件下载链接| j8又粗又长又硬又爽免费视频| 5╳社区视频在线5sq| 99久久精品午夜一区二区| 亚洲六月丁香六月婷婷蜜芽| 日产精品一致六区搬运| 好吊妞乱淫欧美| 骚虎影院在线观看| 黄a大片av永久免费| 色综合久久综合中文小说| 一二三四在线观看免费中文动漫版| 亚洲日韩欧洲无码av夜夜摸| 香蕉97超级碰碰碰碰碰久| 欧美婷婷六月丁香综合色| 两个人看的www免费视频| 亚洲精品自产拍在线观看| 在线视频国产网址你懂的在线视频| 豆奶视频官网下载观看| 四虎影视免费永久在线观看| 国产精品96久久久久久久| 好男人www社区| 一级毛片不卡片免费观看| 亚洲日本国产乱码va在线观看| 喝茶影视喝茶影院最新电影电视剧| 日本三级做a全过程在线观看| 亚洲午夜国产精品无码老牛影视| 久久精品国产99久久久古代| 国产精品无码电影在线观看| 免费又黄又爽的视频| 国产爆乳无码一区二区麻豆| 一区二区国产在线观看| 国产欧美日韩综合| 丰满饥渴老女人hd| 精品久久久久久国产潘金莲| 日本精品www色| 天堂成人一区二区三区| 最近中文字幕无吗免费高清| 中文字幕在线影院| 欧美另类xxxxx另类| 色偷偷色噜噜狠狠网站久久|