<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani yafunguliwa Harbin, China (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 08, 2024
    Bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani yafunguliwa Harbin, China
    Watalii wakionekana kwenye bustani ya ndani ya barafu na theluji huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Julai 6, 2024. (Picha na Xie Jianfei/Xinhua)

    Watalii wanaotembelea Harbin, "Mji wa Barafu" wa China ulioko Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini kabisa mwa China, sasa wana kivutio kipya cha kutembelea, ambacho ni bustani ya ndani ya barafu na theluji iliyofunguliwa siku ya Jumamosi.

    Ikiwa imejengwa kwenye eneo la ukubwa wa mita za mraba 23,800, bustani hiyo imeshinda Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kuwa bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani.

    Meneja wa bustani hiyo amesema kuwa kituo hicho kina sehemu tisa zenye maudhui mbalimbali zikionyesha sanamu za barafu zinazoonyesha uhalisia wa maisha ziking'arishwa na mwanga wa rangi mbalimbali. Bustani hiyo hudumisha halijoto isiyobadilika ili kupokea watalii kwa majira ya mwaka mzima.

    Bustani hiyo itaenda sambamba na Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin, ambayo ni bustani kinara ya nje ya barafu na theluji inayochukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 810,000, na hivyo itaifanya Harbin kuwa kivutio cha mapumziko na utalii kinachofaa majira yote.

    Mji wa Harbin wenye majira ya baridi kali unajulikana kwa tamasha lake la kila mwaka la barafu na theluji. Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin ilipokea wastani wa watalii zaidi ya 30,000 kila siku katika majira ya baridi yaliyopita.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 69pao精品视频在线观看| 亚洲色中文字幕在线播放| 亚洲午夜久久久影院伊人| どきどき小房东| 人妻少妇精品久久| 欧美成人在线免费| 国产高清视频网站| avtt天堂网久久精品| 欧美老少配性视频播放| 久久免费看少妇高潮V片特黄| 2019天天做天天拍天天夜| 免费日韩一级片| 狠狠色狠狠色综合网| 色天天综合色天天害人害己| 91色综合综合热五月激情| 国产成人女人视频在线观看| 99精品欧美一区二区三区综合在线| 欧美交换性一区二区三区| 小小的日本电影在线观看免费版| 日日日天天射天天干视频| 九九热精品国产| 成全影视免费观看大全二| 色综合久久久久综合体桃花网| 草莓污视频在线观看午夜社区| 又大又硬又爽免费视频| 131的美女午夜爱爱爽爽视频| 毛片在线高清免费观看| 午夜电影在线看| 色综合色综合久久综合频道| 国产精品无码永久免费888| 国产aⅴ一区二区| 精品国产一区二区三区久久| 国产男人午夜视频在线观看| 欧美精品一区二区三区视频| ffee性护士vihaos中国| 国产丰满眼镜女在线观看| 性猛交xxxxx按摩欧美| 国产色综合一区二区三区| 日本成a人片在线观看网址| 99久久综合狠狠综合久久aⅴ| 最近中文字幕2019|