<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani yafunguliwa Harbin, China (8)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 08, 2024
    Bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani yafunguliwa Harbin, China
    Mtalii akionekana kwenye bustani ya ndani ya barafu na theluji huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Julai 6, 2024. (Picha na Zhang Tao/Xinhua)

    Watalii wanaotembelea Harbin, "Mji wa Barafu" wa China ulioko Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini kabisa mwa China, sasa wana kivutio kipya cha kutembelea, ambacho ni bustani ya ndani ya barafu na theluji iliyofunguliwa siku ya Jumamosi.

    Ikiwa imejengwa kwenye eneo la ukubwa wa mita za mraba 23,800, bustani hiyo imeshinda Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kuwa bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani.

    Meneja wa bustani hiyo amesema kuwa kituo hicho kina sehemu tisa zenye maudhui mbalimbali zikionyesha sanamu za barafu zinazoonyesha uhalisia wa maisha ziking'arishwa na mwanga wa rangi mbalimbali. Bustani hiyo hudumisha halijoto isiyobadilika ili kupokea watalii kwa majira ya mwaka mzima.

    Bustani hiyo itaenda sambamba na Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin, ambayo ni bustani kinara ya nje ya barafu na theluji inayochukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 810,000, na hivyo itaifanya Harbin kuwa kivutio cha mapumziko na utalii kinachofaa majira yote.

    Mji wa Harbin wenye majira ya baridi kali unajulikana kwa tamasha lake la kila mwaka la barafu na theluji. Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin ilipokea wastani wa watalii zaidi ya 30,000 kila siku katika majira ya baridi yaliyopita.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 国产第一页屁屁影院| 欧美一区二区在线观看免费网站| 亚洲精品亚洲人成人网| a级一级黄色片| 精品国产一区二区二三区在线观看| 又粗又大又爽又紧免费视频| 嫩小xxxxx性bbbbb孕妇| 色天天综合色天天看| 午夜视频高清在线aaa| 无码中文字幕色专区| 成人午夜福利电影天堂| 鸭王3完整版免费完整版在线观看| 狠狠躁夜夜躁人人爽天天天天97| 男女午夜性爽快免费视频不卡| 动漫痴汉电车1~6集在线| 无遮挡边吃摸边吃奶边做| 色视频在线观看视频| 国产一区在线观看视频| 无限看片在线版免费视频大全| 国产午夜无码福利在线看网站| 中文字幕人妻三级中文无码视频| 草草久久久无码国产专区| 亚洲人成网亚洲欧洲无码| 国模杨依粉嫩蝴蝶150P| 99re热这里只有精品视频| 公和我做好爽添厨房| 在车子颠簸中进了老师的身体| 放荡的女老板bd中文在线观看| 日本精品一区二区三本中文| 黄页网站在线观看免费| 最近最新中文字幕完整版免费高清| 中国国产高清一级毛片| 国产精品天干天干| 欧美多人换爱交换乱理伦片| 国产壮汉男同志69可播放| 99久久99久久精品免费观看| 你懂的在线免费观看| 久久精品国产99久久无毒不卡| 免费国产怡红院在线观看| 无限看片在线版免费视频大全| 天天爱天天做天天爽|