<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani yafunguliwa Harbin, China (7)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 08, 2024
    Bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani yafunguliwa Harbin, China
    Sanamu ya barafu ikionekana kwenye bustani ya ndani ya barafu na theluji huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Julai 6, 2024. (Picha na Zhang Tao/Xinhua)

    Watalii wanaotembelea Harbin, "Mji wa Barafu" wa China ulioko Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini kabisa mwa China, sasa wana kivutio kipya cha kutembelea, ambacho ni bustani ya ndani ya barafu na theluji iliyofunguliwa siku ya Jumamosi.

    Ikiwa imejengwa kwenye eneo la ukubwa wa mita za mraba 23,800, bustani hiyo imeshinda Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kuwa bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani.

    Meneja wa bustani hiyo amesema kuwa kituo hicho kina sehemu tisa zenye maudhui mbalimbali zikionyesha sanamu za barafu zinazoonyesha uhalisia wa maisha ziking'arishwa na mwanga wa rangi mbalimbali. Bustani hiyo hudumisha halijoto isiyobadilika ili kupokea watalii kwa majira ya mwaka mzima.

    Bustani hiyo itaenda sambamba na Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin, ambayo ni bustani kinara ya nje ya barafu na theluji inayochukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 810,000, na hivyo itaifanya Harbin kuwa kivutio cha mapumziko na utalii kinachofaa majira yote.

    Mji wa Harbin wenye majira ya baridi kali unajulikana kwa tamasha lake la kila mwaka la barafu na theluji. Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin ilipokea wastani wa watalii zaidi ya 30,000 kila siku katika majira ya baridi yaliyopita.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 国产精品自在线拍国产手机版| 午夜爽爽爽男女污污污网站| 久久国产精品无码一区二区三区| 亚洲а∨天堂久久精品| 国产资源在线看| 一级做a爰片久久免费| 里番肉片h排行榜| 欧美色欧美亚洲高清在线观看| 毛片免费观看网站| 国产三级在线观看免费| 国语自产精品视频在线区| 欧美成人精品第一区| 中文字幕色婷婷在线精品中| 亚洲一区欧洲一区| 777米奇影视盒| yellow字幕网在线播放不了| 亚洲国产精品午夜电影| 777奇米四色米奇影院在线播放| 妓女嫖客叫床粗话对白| 日本精品αv中文字幕| 77777_亚洲午夜久久多人| 女人18特级一级毛片免费视频| 久久狠狠高潮亚洲精品| 啊灬啊灬啊灬快灬深用力| 精品久久欧美熟妇WWW| 国产精品天天在线午夜更新| 日本口工h全彩漫画大全| 成人欧美一区二区三区| 亚洲AV无码久久| 啊v在线免费观看| 久久精品国产亚洲7777| 国精产品一区一区三区有限公司| 国产悠悠视频在线播放| 奇米影视888欧美在线观看| 日韩欧美三级在线| 无人视频免费观看免费直播在线观看| 久99re视频9在线观看| 欧美亚洲人成网站在线观看刚交| 特黄黄三级视频在线观看| 免费人成视频在线播放| 御书宅自由小说阅读无弹窗|