<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani yafunguliwa Harbin, China (9)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 08, 2024
    Bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani yafunguliwa Harbin, China
    Watalii wakipiga picha kwenye bustani ya ndani ya barafu na theluji huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Julai 6, 2024. (Picha na Zhang Tao/Xinhua)

    Watalii wanaotembelea Harbin, "Mji wa Barafu" wa China ulioko Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini kabisa mwa China, sasa wana kivutio kipya cha kutembelea, ambacho ni bustani ya ndani ya barafu na theluji iliyofunguliwa siku ya Jumamosi.

    Ikiwa imejengwa kwenye eneo la ukubwa wa mita za mraba 23,800, bustani hiyo imeshinda Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kuwa bustani ya ndani ya barafu na theluji ambayo ni kubwa zaidi duniani.

    Meneja wa bustani hiyo amesema kuwa kituo hicho kina sehemu tisa zenye maudhui mbalimbali zikionyesha sanamu za barafu zinazoonyesha uhalisia wa maisha ziking'arishwa na mwanga wa rangi mbalimbali. Bustani hiyo hudumisha halijoto isiyobadilika ili kupokea watalii kwa majira ya mwaka mzima.

    Bustani hiyo itaenda sambamba na Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin, ambayo ni bustani kinara ya nje ya barafu na theluji inayochukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 810,000, na hivyo itaifanya Harbin kuwa kivutio cha mapumziko na utalii kinachofaa majira yote.

    Mji wa Harbin wenye majira ya baridi kali unajulikana kwa tamasha lake la kila mwaka la barafu na theluji. Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin ilipokea wastani wa watalii zaidi ya 30,000 kila siku katika majira ya baridi yaliyopita.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 国产chinesehd在线观看| 中文字幕人成乱码中文乱码| 97久人人做人人妻人人玩精品| 中文精品久久久久人妻| 在线精品91青草国产在线观看| 99这里只有精品| 女人是男人的女未来1分49分| 精品久久久无码人妻中文字幕豆芽| 欧美性黑人极品hd| 特黄大片aaaaa毛片| 欧美裸体xxxx极品少妇| 国语对白avxxxooo| 成人亚洲网站www在线观看| 免费黄色一级毛片| 天堂新版资源中文最新版下载地址| 蜜臀AV在线播放| 红杏出墙电影在线观看| 色视频www在线播放国产人成| 波多野结衣制服诱惑| 又硬又粗又大一区二区三区视频| 大胸校花被老头粗暴在线观看| 亚洲男人的天堂在线播放| 欧美日韩第二页| 亚洲伊人tv综合网色| 久久免费区一区二区三波多野| 免费乱理伦片在线观看影院| 99在线观看视频免费| 国产精品四虎在线观看免费| 狂野黑人性猛交xxxxxx| 国产精品特黄一级国产大片| 国产动作大片中文字幕| 男人j桶女人p免费视频| 亚洲AV无码一区二区三区网址| 亚洲成a人v欧美综合天| 国产恋夜精品全部护士| 男女超爽视频免费播放| 色多多在线观看视频| 国产1区2区3区在线观看| 国产日产久久高清欧美一区| 国产一区曰韩二区欧美三区| 欧美精品blacked中文字幕|