<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Kijana wa Ubelgiji aishi maisha ya?kawaida na ya furaha pamoja na wazazi wake kijijini?katika?mkoa?wa Guizhou, China (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2024
    Kijana wa Ubelgiji aishi maisha ya?kawaida na ya furaha pamoja na wazazi wake kijijini?katika?mkoa?wa Guizhou, China
    Kevin Cillen Michael E. (Kulia) na baba yake wakiwa kwenye shamba lao katika Kijiji cha Xiasi, Wilaya ya Dushan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Tao Liang)

    Katika Kijiji cha Xiasi, Wilaya ya Dushan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China kuna shamba la kipekee la kiikolojia la familia. Linaendeshwa na Kevin Cillen Michael E., Mbelgiji mwenye umri wa miaka 28 ambaye ana shauku kubwa kwa ardhi hiyo.

    Kwa pamoja na wazazi wake na kaka zake, wamechanganya mbinu za kilimo za nchi za Magharibi na zile za kijadi za wenyeji za kijijini ili kukuza "oasisi ya ikolojia" katika eneo la pembezoni milimani.

    Ikiwa imezungukwa na vilima vya kijani na milio ya kuvutia ya ndege, familia hiyo imejitoa kwa ajili ya ardhi hiyo, ikiendeleza bila kuchoka ndoto yao ya ukulima nchini China. Safari yao ilianza Mwaka 2000 wakati mama yake Kevin, Hetty Cillen Bottheft, alipotembelea China akiwa ni mfanyakazi wa kujitolea kwa mara ya kwanza. Mandhari ya kuvutia na utamaduni wa Guizhou ilimvutia, na kumhimiza kuifanya nchi hii ya kigeni kuwa maskani yake. Muda mfupi baadaye, baba yake Kevin, Patrick Jan Cillen, alijiunga naye mkoani Guizhou.

    Mwaka 2017, familia hiyo ilianza ukurasa mpya, ikihamia Mji mdogo wa Xiasi kukodisha shamba katikati ya msitu wa eneo hilo na kuanzisha shamba la kiikolojia. Kuanzia hatua ya kwanza kabisa, waliweka msingi, kusawazisha ardhi, kupanda malisho, na kununua vitoto vya kondoo na vifaranga kwa ajili ya kufuga.

    Baada ya zaidi miongo miwili nchini China, Kevin na familia yake wanaichukulia Guizhou kuwa maskani yao. Wana matumaini kuwa: kujikita katika kilimo cha ikolojia, kutafuta aina mpya za kilimo, na kuhamasisha ufahamu wa mazingira kupitia mitandao ya kijamii ili kuvutia umakini zaidi katika kilimo cha ikolojia.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 天天爽天天爽夜夜爽毛片| 四虎国产精品免费视| 成人国产在线24小时播放视频| 91久久亚洲国产成人精品性色| 国产91成人精品亚洲精品| 亚洲噜噜噜噜噜影院在线播放| 亚洲日韩一区二区一无码| 亚洲jizzjizz在线播放久| 日韩精品久久久肉伦网站| 日韩一级在线播放| 岛国大片在线免费观看| 日本三级黄色网址| 97人人模人人爽人人少妇| 无遮挡h肉动漫在线观看日本| 蕾丝视频在线看片国产| 黑寡妇被绿巨人擦gif图| 胸大的姑娘动漫视频| 成人免费毛片观看| 日本理论片午午伦夜理片2021| 强挺进小y头的小花苞漫画| 男人j桶进女人免费视频| 欧美巨鞭大战丰满少妇| 欧美性69式xxxx护士| 中文字幕影片免费在线观看| 日韩午夜高清福利片在线观看| 日本高清乱码中文字幕| 久久99国产精品久久99| 免费a级午夜绝情美女视频| 久久精品a亚洲国产v高清不卡| 九九影视理伦片| 最近2018中文字幕2019高清| 日韩加勒比一本无码精品| 波多野结衣精品一区二区三区| 天天躁日日躁狠狠久久| 一级做a爰全过程免费视频| 国产亚洲男人的天堂在线观看| 99精品众筹模特私拍在线| 99精品国产在热久久| 呦交小u女国产秘密入口| 精品国产一区二区三区久久狼| 无码任你躁久久久久久|