<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Kijana wa Ubelgiji aishi maisha ya?kawaida na ya furaha pamoja na wazazi wake kijijini?katika?mkoa?wa Guizhou, China (6)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2024
    Kijana wa Ubelgiji aishi maisha ya?kawaida na ya furaha pamoja na wazazi wake kijijini?katika?mkoa?wa Guizhou, China
    Kevin Cillen Michael E. (kushoto) akizungumza na baba yake kwenye shamba lao katika Kijiji cha Xiasi, Wilaya ya Dushan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Juni 13, 2024. (Xinhua/Tao Liang)

    Katika Kijiji cha Xiasi, Wilaya ya Dushan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China kuna shamba la kipekee la kiikolojia la familia. Linaendeshwa na Kevin Cillen Michael E., Mbelgiji mwenye umri wa miaka 28 ambaye ana shauku kubwa kwa ardhi hiyo.

    Kwa pamoja na wazazi wake na kaka zake, wamechanganya mbinu za kilimo za nchi za Magharibi na zile za kijadi za wenyeji za kijijini ili kukuza "oasisi ya ikolojia" katika eneo la pembezoni milimani.

    Ikiwa imezungukwa na vilima vya kijani na milio ya kuvutia ya ndege, familia hiyo imejitoa kwa ajili ya ardhi hiyo, ikiendeleza bila kuchoka ndoto yao ya ukulima nchini China. Safari yao ilianza Mwaka 2000 wakati mama yake Kevin, Hetty Cillen Bottheft, alipotembelea China akiwa ni mfanyakazi wa kujitolea kwa mara ya kwanza. Mandhari ya kuvutia na utamaduni wa Guizhou ilimvutia, na kumhimiza kuifanya nchi hii ya kigeni kuwa maskani yake. Muda mfupi baadaye, baba yake Kevin, Patrick Jan Cillen, alijiunga naye mkoani Guizhou.

    Mwaka 2017, familia hiyo ilianza ukurasa mpya, ikihamia Mji mdogo wa Xiasi kukodisha shamba katikati ya msitu wa eneo hilo na kuanzisha shamba la kiikolojia. Kuanzia hatua ya kwanza kabisa, waliweka msingi, kusawazisha ardhi, kupanda malisho, na kununua vitoto vya kondoo na vifaranga kwa ajili ya kufuga.

    Baada ya zaidi miongo miwili nchini China, Kevin na familia yake wanaichukulia Guizhou kuwa maskani yao. Wana matumaini kuwa: kujikita katika kilimo cha ikolojia, kutafuta aina mpya za kilimo, na kuhamasisha ufahamu wa mazingira kupitia mitandao ya kijamii ili kuvutia umakini zaidi katika kilimo cha ikolojia.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 国产精品无码素人福利免费| 九九免费观看全部免费视频| 老师让我她我爽了好久视频| 日韩一中文字幕| jizzjizz成熟丰满舒服| 一级做a爰片久久毛片看看| 麻豆福利在线观看| 黄页网址在线免费观看| hdmaturetube熟女xx视频韩国| 狼色精品人妻在线视频免费| 国产AV无码专区亚洲AV麻豆| 精品国产乱码一区二区三区| 日本日本熟妇中文在线视频| 亚洲区精选网址| 青娱乐免费视频| 欧美一级特黄乱妇高清视频| 国产精品va无码免费麻豆| 全日本爽视频在线| 99久久99热精品免费观看国产| 波多野结衣1048系列电影| 国产乱子伦精品免费无码专区| 国产精品久久99| 国产欧美va欧美va香蕉在| 欧美性一交激情视频在线| 久久久xxxx| 中国xxx69视频| 2021国产麻豆剧传媒剧情最新| 猫扑两性色午夜视频免费| 中国黄色毛片大片| 国产波多野结衣中文在线播放| 亚洲精品www久久久久久| 亚洲中文字幕av每天更新| 一个人看的www日本高清视频| 男人的肌肌捅女人的肌肌| 李小璐三级在线视频| 日本tvvivodes人妖| 狠狠躁天天躁无码中文字幕| 欧美亚洲国产一区二区三区| 国产的一级毛片最新在线直播| 中文字幕无线码一区二区| 成年女人色毛片|