<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Kijana wa Ubelgiji aishi maisha ya?kawaida na ya furaha pamoja na wazazi wake kijijini?katika?mkoa?wa Guizhou, China (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2024
    Kijana wa Ubelgiji aishi maisha ya?kawaida na ya furaha pamoja na wazazi wake kijijini?katika?mkoa?wa Guizhou, China
    Kevin Cillen Michael E. akiangalia sungura kwenye shamba lao katika Kijiji cha Xiasi, Wilaya ya Dushan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Juni 13, 2024. (Xinhua/Tao Liang)

    Katika Kijiji cha Xiasi, Wilaya ya Dushan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China kuna shamba la kipekee la kiikolojia la familia. Linaendeshwa na Kevin Cillen Michael E., Mbelgiji mwenye umri wa miaka 28 ambaye ana shauku kubwa kwa ardhi hiyo.

    Kwa pamoja na wazazi wake na kaka zake, wamechanganya mbinu za kilimo za nchi za Magharibi na zile za kijadi za wenyeji za kijijini ili kukuza "oasisi ya ikolojia" katika eneo la pembezoni milimani.

    Ikiwa imezungukwa na vilima vya kijani na milio ya kuvutia ya ndege, familia hiyo imejitoa kwa ajili ya ardhi hiyo, ikiendeleza bila kuchoka ndoto yao ya ukulima nchini China. Safari yao ilianza Mwaka 2000 wakati mama yake Kevin, Hetty Cillen Bottheft, alipotembelea China akiwa ni mfanyakazi wa kujitolea kwa mara ya kwanza. Mandhari ya kuvutia na utamaduni wa Guizhou ilimvutia, na kumhimiza kuifanya nchi hii ya kigeni kuwa maskani yake. Muda mfupi baadaye, baba yake Kevin, Patrick Jan Cillen, alijiunga naye mkoani Guizhou.

    Mwaka 2017, familia hiyo ilianza ukurasa mpya, ikihamia Mji mdogo wa Xiasi kukodisha shamba katikati ya msitu wa eneo hilo na kuanzisha shamba la kiikolojia. Kuanzia hatua ya kwanza kabisa, waliweka msingi, kusawazisha ardhi, kupanda malisho, na kununua vitoto vya kondoo na vifaranga kwa ajili ya kufuga.

    Baada ya zaidi miongo miwili nchini China, Kevin na familia yake wanaichukulia Guizhou kuwa maskani yao. Wana matumaini kuwa: kujikita katika kilimo cha ikolojia, kutafuta aina mpya za kilimo, na kuhamasisha ufahamu wa mazingira kupitia mitandao ya kijamii ili kuvutia umakini zaidi katika kilimo cha ikolojia.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 九九久久久久午夜精选| 狠狠躁夜夜躁人人爽天天天天97| 一个色综合导航| 人妻体体内射精一区二区| 成人精品一区二区不卡视频| 久久这里只精品国产免费10| 亚洲欧美专区精品久久| 欧美日韩国产精品| 公车上玩两个处全文阅读| 亚洲视频在线观看免费视频| 26uuu另类亚洲欧美日本| 人人爽人人爽人人爽人人片av| 日韩在线观看高清| 中日韩亚洲人成无码网站| 国产三级在线观看完整版| 久久精品久噜噜噜久久| 国产公开免费人成视频| 国产裸体美女永久免费无遮挡| 亚州av综合色区无码一区| 国产亚洲综合久久系列| 波多野结衣在线一区二区| 伊人五月天综合| 男的把j伸进女人p图片动态| 再灬再灬再灬深一点舒服| 亚洲国产欧美在线看片一国产| 最新中文字幕在线播放| 亚洲欧美日韩国产综合五月天| 一级特黄aaa大片在线观看视频| 日本三级中文字版电影| 2023av在线播放| 精品视频一区二区三三区四区| 亚洲人成伊人成综合网久久| 国产成人免费永久播放视频平台| 成人国产在线24小时播放视频| 日本xxxx色视频在线播放| 一区二区三区视频在线播放| 激情六月在线视频观看| 99在线观看视频免费精品9| 国产成人综合美国十次| 国产羞羞视频在线观看| 娇小体积女大战两黑鬼|