<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Kijana wa Ubelgiji aishi maisha ya?kawaida na ya furaha pamoja na wazazi wake kijijini?katika?mkoa?wa Guizhou, China (8)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2024
    Kijana wa Ubelgiji aishi maisha ya?kawaida na ya furaha pamoja na wazazi wake kijijini?katika?mkoa?wa Guizhou, China
    Patrick Jan Cillen, baba yake Kevin Cillen Michael E., akimimina maji ya kunywa kwa ajili ya mifugo kwenye shamba lake katika Kijiji cha Xiasi, Wilaya ya Dushan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Juni 13, 2024. (Xinhua/Tao Liang)

    Katika Kijiji cha Xiasi, Wilaya ya Dushan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China kuna shamba la kipekee la kiikolojia la familia. Linaendeshwa na Kevin Cillen Michael E., Mbelgiji mwenye umri wa miaka 28 ambaye ana shauku kubwa kwa ardhi hiyo.

    Kwa pamoja na wazazi wake na kaka zake, wamechanganya mbinu za kilimo za nchi za Magharibi na zile za kijadi za wenyeji za kijijini ili kukuza "oasisi ya ikolojia" katika eneo la pembezoni milimani.

    Ikiwa imezungukwa na vilima vya kijani na milio ya kuvutia ya ndege, familia hiyo imejitoa kwa ajili ya ardhi hiyo, ikiendeleza bila kuchoka ndoto yao ya ukulima nchini China. Safari yao ilianza Mwaka 2000 wakati mama yake Kevin, Hetty Cillen Bottheft, alipotembelea China akiwa ni mfanyakazi wa kujitolea kwa mara ya kwanza. Mandhari ya kuvutia na utamaduni wa Guizhou ilimvutia, na kumhimiza kuifanya nchi hii ya kigeni kuwa maskani yake. Muda mfupi baadaye, baba yake Kevin, Patrick Jan Cillen, alijiunga naye mkoani Guizhou.

    Mwaka 2017, familia hiyo ilianza ukurasa mpya, ikihamia Mji mdogo wa Xiasi kukodisha shamba katikati ya msitu wa eneo hilo na kuanzisha shamba la kiikolojia. Kuanzia hatua ya kwanza kabisa, waliweka msingi, kusawazisha ardhi, kupanda malisho, na kununua vitoto vya kondoo na vifaranga kwa ajili ya kufuga.

    Baada ya zaidi miongo miwili nchini China, Kevin na familia yake wanaichukulia Guizhou kuwa maskani yao. Wana matumaini kuwa: kujikita katika kilimo cha ikolojia, kutafuta aina mpya za kilimo, na kuhamasisha ufahamu wa mazingira kupitia mitandao ya kijamii ili kuvutia umakini zaidi katika kilimo cha ikolojia.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 国产ssss在线观看极品| 亚洲精品无码不卡在线播放| 国产三级中文字幕| 催眠美丽人妇系列| 国产又黄又大又粗的视频| 日韩免费视频在线观看| 亲密爱人在线观看韩剧完整版免费| 国产乱人视频在线播放不卡| 亚洲免费在线视频观看| 杨晨晨脱得一二净无内裤全身| 啊轻点灬大ji巴太粗太长了视| 久久夜色精品国产噜噜亚洲AV| 思思91精品国产综合在线| 久久人人爽人人爽人人爽| 女的扒开尿口让男人桶| 亚洲视频在线观看网址| 99精品国产高清自在线看超| 欧美一区二区三区成人片在线| 国产日韩一区二区三区在线观看| 丝袜交kingfootjob| 青娱乐免费视频观看| 男生女生一起差差差视频| 无码中文人妻在线一区二区三区| 国产三级a三级三级| jizzjizz18日本人| 色婷婷免费视频| 手机看片1024旧版| 久久久久久久久中文字幕| 4hu四虎最新免费地址| 波多野结衣被躁五十分钟视频| 黄色免费在线观看网址| 久久亚洲国产精品五月天婷| 成年女性特黄午夜视频免费看| 久久国产真实乱对白| 荡乱妇3p疯狂伦交下载阅读| 91精品欧美一区二区三区| 亚洲国产品综合人成综合网站| 久草网视频在线| 么公的又大又深又硬又爽视频| 一级欧美一级日韩| 69xxxx国产在线观看|