<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Kijana wa Ubelgiji aishi maisha ya?kawaida na ya furaha pamoja na wazazi wake kijijini?katika?mkoa?wa Guizhou, China (9)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2024
    Kijana wa Ubelgiji aishi maisha ya?kawaida na ya furaha pamoja na wazazi wake kijijini?katika?mkoa?wa Guizhou, China
    Kevin Cillen Michael E. (Kulia) na baba yake wakilisha kuku kwenye shamba lake katika Kijiji cha Xiasi, Wilaya ya Dushan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Tao Liang)

    Katika Kijiji cha Xiasi, Wilaya ya Dushan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China kuna shamba la kipekee la kiikolojia la familia. Linaendeshwa na Kevin Cillen Michael E., Mbelgiji mwenye umri wa miaka 28 ambaye ana shauku kubwa kwa ardhi hiyo.

    Kwa pamoja na wazazi wake na kaka zake, wamechanganya mbinu za kilimo za nchi za Magharibi na zile za kijadi za wenyeji za kijijini ili kukuza "oasisi ya ikolojia" katika eneo la pembezoni milimani.

    Ikiwa imezungukwa na vilima vya kijani na milio ya kuvutia ya ndege, familia hiyo imejitoa kwa ajili ya ardhi hiyo, ikiendeleza bila kuchoka ndoto yao ya ukulima nchini China. Safari yao ilianza Mwaka 2000 wakati mama yake Kevin, Hetty Cillen Bottheft, alipotembelea China akiwa ni mfanyakazi wa kujitolea kwa mara ya kwanza. Mandhari ya kuvutia na utamaduni wa Guizhou ilimvutia, na kumhimiza kuifanya nchi hii ya kigeni kuwa maskani yake. Muda mfupi baadaye, baba yake Kevin, Patrick Jan Cillen, alijiunga naye mkoani Guizhou.

    Mwaka 2017, familia hiyo ilianza ukurasa mpya, ikihamia Mji mdogo wa Xiasi kukodisha shamba katikati ya msitu wa eneo hilo na kuanzisha shamba la kiikolojia. Kuanzia hatua ya kwanza kabisa, waliweka msingi, kusawazisha ardhi, kupanda malisho, na kununua vitoto vya kondoo na vifaranga kwa ajili ya kufuga.

    Baada ya zaidi miongo miwili nchini China, Kevin na familia yake wanaichukulia Guizhou kuwa maskani yao. Wana matumaini kuwa: kujikita katika kilimo cha ikolojia, kutafuta aina mpya za kilimo, na kuhamasisha ufahamu wa mazingira kupitia mitandao ya kijamii ili kuvutia umakini zaidi katika kilimo cha ikolojia.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 亚洲精品NV久久久久久久久久| 女人张腿让男桶免费视频网站| 91精品成人福利在线播放| 日韩不卡手机视频在线观看| 国精无码欧精品亚洲一区| 交换交换乱杂烩系列yy| 国产精品亚洲专一区二区三区| 真实国产老熟女粗口对白| 国产片免费在线观看| 国产丰满眼镜女在线观看| 一级毛片直播亚洲| 麻豆69堂免费视频| 国产高清在线观看| 色综合久久88色综合天天| 日本伊人精品一区二区三区| 成人免费草草视频| 精品人妻少妇一区二区三区在线| 国产成人h片视频在线观看| 精品无码一区二区三区爱欲九九| 97精品依人久久久大香线蕉97| 欧美日韩高清完整版在线观看免费| 再深点灬舒服灬太大了添学长| 东北女大战28公分黑人| 影视先锋AV资源噜噜| 国产高清在线观看| 中文字幕丰满伦子无码| 晚上看b站直播软件| 丁香六月色婷婷| a√天堂中文在线最新版| 久久夜色精品国产亚洲| 国产精品久久毛片| 狠狠色欧美亚洲狠狠色www| 午夜伦理在线观看免费高清在线电影| 国产一区二区三区夜色| 久久综合丝袜日本网| 久久精品国产99国产精品亚洲| 国产麻豆视频免费观看| 催眠医生动漫在线观看| 神秘电影欧美草草影院麻豆第一页| 国内揄拍国内精品少妇国语| 亚洲欧美专区精品久久|