<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Kijana wa Ubelgiji aishi maisha ya?kawaida na ya furaha pamoja na wazazi wake kijijini?katika?mkoa?wa Guizhou, China (4)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2024
    Kijana wa Ubelgiji aishi maisha ya?kawaida na ya furaha pamoja na wazazi wake kijijini?katika?mkoa?wa Guizhou, China
    Kevin Cillen Michael E. (Kulia) na baba yake wakitembea kwenye msitu karibu na shamba lake katika Kijiji cha Xiasi, Wilaya ya Dushan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Tao Liang)

    Katika Kijiji cha Xiasi, Wilaya ya Dushan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China kuna shamba la kipekee la kiikolojia la familia. Linaendeshwa na Kevin Cillen Michael E., Mbelgiji mwenye umri wa miaka 28 ambaye ana shauku kubwa kwa ardhi hiyo.

    Kwa pamoja na wazazi wake na kaka zake, wamechanganya mbinu za kilimo za nchi za Magharibi na zile za kijadi za wenyeji za kijijini ili kukuza "oasisi ya ikolojia" katika eneo la pembezoni milimani.

    Ikiwa imezungukwa na vilima vya kijani na milio ya kuvutia ya ndege, familia hiyo imejitoa kwa ajili ya ardhi hiyo, ikiendeleza bila kuchoka ndoto yao ya ukulima nchini China. Safari yao ilianza Mwaka 2000 wakati mama yake Kevin, Hetty Cillen Bottheft, alipotembelea China akiwa ni mfanyakazi wa kujitolea kwa mara ya kwanza. Mandhari ya kuvutia na utamaduni wa Guizhou ilimvutia, na kumhimiza kuifanya nchi hii ya kigeni kuwa maskani yake. Muda mfupi baadaye, baba yake Kevin, Patrick Jan Cillen, alijiunga naye mkoani Guizhou.

    Mwaka 2017, familia hiyo ilianza ukurasa mpya, ikihamia Mji mdogo wa Xiasi kukodisha shamba katikati ya msitu wa eneo hilo na kuanzisha shamba la kiikolojia. Kuanzia hatua ya kwanza kabisa, waliweka msingi, kusawazisha ardhi, kupanda malisho, na kununua vitoto vya kondoo na vifaranga kwa ajili ya kufuga.

    Baada ya zaidi miongo miwili nchini China, Kevin na familia yake wanaichukulia Guizhou kuwa maskani yao. Wana matumaini kuwa: kujikita katika kilimo cha ikolojia, kutafuta aina mpya za kilimo, na kuhamasisha ufahamu wa mazingira kupitia mitandao ya kijamii ili kuvutia umakini zaidi katika kilimo cha ikolojia.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 欧美最猛性xxxxx免费| 国产乱人伦无无码视频试看| 精品国产青草久久久久福利| 最近2019中文字幕mv免费看| 中文字幕亚洲欧美日韩高清| 久久午夜福利电影| 99国内精品久久久久久久| 农村乱人伦一区二区| 三级小说第一页| 亚洲国产日韩欧美一区二区三区| 亚洲精品网站在线观看你懂的| 精品无码中文视频在线观看| 亚洲中文无码线在线观看| 亚洲av日韩精品久久久久久久| jizz中国jizz欧洲/日韩在线| www.日日爱| 18av黄动漫网站在线观看| 国产麻豆精品免费密入口| h视频免费在线| 老司机电影网你懂得视频| 免费黄在线观看| 亚洲精品乱码久久久久久蜜桃| 欧美日韩大片在线观看| a级毛片免费观看在线播放| www.11yinyuan.com| 一区二区三区视频| 丁香六月色婷婷| 99热这里有精品| 国产精品永久免费| 男女一边摸一边做爽爽| 欧美性受一区二区三区| 啊轻点灬大ji巴太粗太长h| 国产精品毛片va一区二区三区| 国产免费小视频在线观看| 好男人在线社区www我在线观看| 黄网站免费在线| 青青免费在线视频| 老妇激情毛片免费| 国产精品黄页在线播放免费| 奇米第四色首页| 国产三级中文字幕|