<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Kijana wa Ubelgiji aishi maisha ya?kawaida na ya furaha pamoja na wazazi wake kijijini?katika?mkoa?wa Guizhou, China (7)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2024
    Kijana wa Ubelgiji aishi maisha ya?kawaida na ya furaha pamoja na wazazi wake kijijini?katika?mkoa?wa Guizhou, China
    Kevin Cillen Michael E. akishika kitoto cha sungura kwenye shamba lao katika Kijiji cha Xiasi, Wilaya ya Dushan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Juni 13, 2024. (Xinhua/Tao Liang)

    Katika Kijiji cha Xiasi, Wilaya ya Dushan, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China kuna shamba la kipekee la kiikolojia la familia. Linaendeshwa na Kevin Cillen Michael E., Mbelgiji mwenye umri wa miaka 28 ambaye ana shauku kubwa kwa ardhi hiyo.

    Kwa pamoja na wazazi wake na kaka zake, wamechanganya mbinu za kilimo za nchi za Magharibi na zile za kijadi za wenyeji za kijijini ili kukuza "oasisi ya ikolojia" katika eneo la pembezoni milimani.

    Ikiwa imezungukwa na vilima vya kijani na milio ya kuvutia ya ndege, familia hiyo imejitoa kwa ajili ya ardhi hiyo, ikiendeleza bila kuchoka ndoto yao ya ukulima nchini China. Safari yao ilianza Mwaka 2000 wakati mama yake Kevin, Hetty Cillen Bottheft, alipotembelea China akiwa ni mfanyakazi wa kujitolea kwa mara ya kwanza. Mandhari ya kuvutia na utamaduni wa Guizhou ilimvutia, na kumhimiza kuifanya nchi hii ya kigeni kuwa maskani yake. Muda mfupi baadaye, baba yake Kevin, Patrick Jan Cillen, alijiunga naye mkoani Guizhou.

    Mwaka 2017, familia hiyo ilianza ukurasa mpya, ikihamia Mji mdogo wa Xiasi kukodisha shamba katikati ya msitu wa eneo hilo na kuanzisha shamba la kiikolojia. Kuanzia hatua ya kwanza kabisa, waliweka msingi, kusawazisha ardhi, kupanda malisho, na kununua vitoto vya kondoo na vifaranga kwa ajili ya kufuga.

    Baada ya zaidi miongo miwili nchini China, Kevin na familia yake wanaichukulia Guizhou kuwa maskani yao. Wana matumaini kuwa: kujikita katika kilimo cha ikolojia, kutafuta aina mpya za kilimo, na kuhamasisha ufahamu wa mazingira kupitia mitandao ya kijamii ili kuvutia umakini zaidi katika kilimo cha ikolojia.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 色哟哟视频在线观看网站| 精品少妇人妻av无码久久| 男生吃女生的jiojio| 奶大灬舒服灬太大了一进一出| 人妻av无码一区二区三区| 亚洲三级中文字幕| 777成影片免费观看| 色婷婷天天综合在线| 国内精品伊人久久久久影院对白| 成人午夜兔费观看网站| 国产美女久久久久| 日韩欧美在线观看一区| 国产成人在线看| 午夜爽爽爽男女污污污网站| japanese国产高清麻豆| 一级毛片恃级毛片直播| 韩国三级香港三级日本三级| 久操视频免费观看| 国产AV无码专区亚洲AV| 白丝美女被羞羞视频| 全彩里番acg里番本子| 免费a级毛片18以上观看精品| 全彩里番acg海贼王同人本子| 国产又粗又长又更又猛的视频| 国产xxxxx| 午夜福利一区二区三区在线观看| 男Ji大巴进入女人的视频| 俺也去在线观看视频| 国产AV无码专区亚洲AV| 免费人妻av无码专区| 国产乱子伦农村xxxx| 国产精品免费无遮挡无码永久视频| 欧美成人午夜视频| 国产精品看高国产精品不卡| 日本高清视频wwww色| 免费黄色app网站| 国产成a人亚洲精v品无码性色| 狠狠色综合久久婷婷色天使| 久草电影在线播放| eeuss在线兵区免费观看| 一级中文字幕乱码免费|